kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet. Package ni kama ifuatavyo. •Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/=...
  2. JamiiForums Tanzania Cadillac kuingia Formula 1 GP kuanzia msimu ujao wa 2026. Kwa kuanza, watatumia engine za Ferrari.

    Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1. Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari. Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
  3. JamiiForums Tanzania Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa. Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga-

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  8. JamiiForums Tanzania Kigamboni Puna viwanja kuanzia million 3

    Kigamboni Puna Site cleaning Jamani ndugu wateja Site imenyooka sana hii usafi on point Barabara zimechongwa Alafu bei sasa ni kitonga sana Usichelewa ukakuta sold out Tunawajali ndio maana tunawapa vitu bora SQM moja cash 7500 SQm moja installments 9500 Unaweza kuanza na 350000 tsh...
  9. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  11. U

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa. Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
  14. JamiiForums Tanzania Kuanzia Sasa Namuomba Mungu Anipe Moyo Mgumu Wa kutokusaidia Binadamu😭

    Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha. Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe spirit hii ndani yangu Juzi nimekaa ofisin kwangu alikuja jamaa mmoja simfahamu yule jamaa nilidhan...
  15. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha Yapandisha Gharama za Vibali vya Sherehe Kuanzia Agosti 6

    Manispaa ya Kibaha imetangaza rasmi mabadiliko ya gharama za vibali kwa shughuli zote za sherehe na burudani zinazofanyika kwenye kumbi, ambapo kuanzia Agosti 6, 2025, wamiliki wa kumbi na waandaaji wa matukio watalazimika kulipia huduma mbalimbali kwa viwango vipya. Kwa mujibu wa tangazo...
  16. JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni Puna kuanzia million 3 viwanja vina ukubwa wa SQM 400 -2000

    Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥 Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna ✅PUNA BEACH PLOT Mita 650 kutoka site mpaka beach 20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3 22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15 ✅PUNA...
  17. JamiiForums Tanzania kuanzia miaka 30 kwenda mbele mwili hufika kikomo cha ukuaji, sasa apa mazoezi ndo yatakuokoa

  18. JamiiForums Tanzania CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

    Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
  19. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

    Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,500/= DStv Bomba - 27,500/= DStv Family - 40,000/= DStv Compact - 68,000/= DStv Compact Plus - 118,000/= DStv Premium - 189,000/= Extra view - 36,000/= Ndani ya mwaka tu wamepandisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kuanzia Tarehe 1-7 Agosti, NCHI itasimama! Chawa Watashangazwa. Kwa Sasa MIOYO yao imefanywa kuwa Migumu ili washangazwe

    Wakuu Kwa Ufupi naendelea kurudia kile kile nilichokisema Jana !! Hamna Uchaguzi Oktoba 2025. LISSU anaachiwa. Reforms zitafanyika. Ili haya yote yatimie, Kuanzia tarehe 1-7 ya mwezi ya Nane Kuna matukio yanaenda Kuwashangaza Machawa kwelikweli !! Oyaa Machawa wa Mama, Narudia, Mwisho wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…