kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanachadema kuweni makini mda umepangwa na kusudio kuanzia mda huu.

    Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kinahitajika kiwanja kuanzia sqm 1200

    Habari wana jamvi. Mdau mmoja anahitaji kiwanja kuanzia sqm 1200 katika moja ya maeneo haya. 1. Kinyerezi 2. Kifuru 3. Segerea 4. Goba 5. Mbweni 6. Madale Sifa ya kiwanja/eneo 1. Tambarare au kama mlima usiwe mkali sana slope yake. 2. Kinafikika kwa barabara vizuri 3. Neighborhood nzuri au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nanunua pumba za mahindi kuanzia tani 17 na kuendelea

    Nahitaji pumba nzuri zilizokauka. Kwa bei njoo inbox au nichek 0682493359 kama una mzigo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Busega ajira ya kuanzia January 2025 hadi April 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu

    HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka turipoti kazini ni mwaka sasa na miezi umepita hatujalipwa pesa za kujikimu. Tumekuwa tukifatilia...
  5. JamiiForums Tanzania Nidhamu yako ya pesa huwa inarudi ukibakiza kuanzia kiasi gani?

    Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo itiki tena au mshahara uingine. Wewe nidhamu huwa inarudi ukibaki na kiasi gani? Mimi nikibaki na...
  6. JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda tena kuanzia kesho

    Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena. Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake. Maadui hawa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili andoke vizuri yeye anabinua mabega juu kuashiria hayuko tayari kwenda kuoga!, sasa najiuliza hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2027 Waafirka kuingia Congo-Brazzaville bila Visa

    Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism). “Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mbioni Kuanzia "Muhimbili National Hospital Yake"

    My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi. Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
  14. JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

    Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya Budget: Isizidi Tsh Milioni 50 Mahitaji ya nyumba: • Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom) • Sitting Room & Dining Room • Jiko kizuri • Public Toilet • Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia • Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

    Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+. Uamuzi huu utaanza kutumika rasmi tarehe Mei 1, 2026. *****  UAE (kupitia Abu Dhabi) ilijiunga na OPEC mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani, smartphone zote zinazotengenezwa zinatakiwa kuwa na betri ambayo mtumiaji anaweza kubadilisha mwenyewe bila kwenda kwa fundi

    🚨 Umoja wa Ulaya unasema simu zote za mkononi sasa lazima ziwe na betri zinazoweza kubadilishwa. Kuanzia Februari 18, 2027, Umoja wa Ulaya unatekeleza mabadiliko makubwa katika muundo wa vifaa kwa kuagiza simu zote za mkononi kuwa na betri zinazoweza kubadilishwa na mtumiaji. Kiwango hiki...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji mkulima mpunga kuanzia heka 5

    Kama unadeal na ukulima mpunga Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa nyanya kuanzia heka moja na kuendelea

    Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…