kuanza

The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.

It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  2. Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
  3. Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

    Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi. 3. MAHITAJI YA...
  4. K

    Jamani jino linauma! Unaweza ku chizi. Niliamka Sa 9 alfajiri na kuanza kufagia uwanja

    Yani nilikua Naona asubuhi haifiki kwa Hiyo nikianza kufagia uwanja kusudi Mungu ata kumbuka kuachia mwanga wa jua ili madaktari waamke niende hospitali. Waliowahi kuumwa na jino nadhani wataelewa.
  5. Ufugaji wa nguruwe unalipa: Huu ndio muda sahihi wa kuanza! 🐖💰

    Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime, Nyamongo, na vitongoji vyake. Tulikutana na wafugaji wapya na waliopo tayari waliodhamiria kwa dhati...
  6. Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  7. 🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
  8. Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

    Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran...
  9. Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu

    Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kunda bomu- katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya nyuklia amesema. Rafael Grossi, mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), alisema mashambulizi ya...
  10. Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

    Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali. Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje? Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya...
  11. S

    Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  12. Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  13. Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  14. Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  15. Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  16. U

    Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  17. Umuhimu wa kuanza uwekezaji mapema!

    Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?” Nikamtazama, nikatabasamu kisha nikamwambia, “Tsh 800 kwa hisa, sawa na ongezeko la 100%... na hapo hujaweka...
  18. Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

    Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana. Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia...
  19. Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
  20. Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…