kuamka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
  2. Sleep walking: Tatizo la kuamka ukiwa usingizini na kuanza kutembea ama kufanya vitendo bila kujitambua

    Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
  3. Mate kujaa mdomoni, tena yenye harufu mbaya wakati wa kuamka asubuhi husababishwa na nini?

    Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini. Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
  4. Saa kumi na moja alfajiri ndiyo muda wa malijendari kuamka au kwenda kulala

  5. Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Asee leo nimeshangaa sana wakuu na nimeamini wanaimani ya ovyo sana Kilichonikuta dk 5 zilizopita Nimeamka nikaenda kwa jirani yangu kwa lengo ya kununua maji maana yeye anakisima kwa bahati mbaya ama nzuri sijawahi kupata shida ya maji na uhitaji wa maji ya haraka kama ilivyo leo. Yaani...
  6. U

    Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini? Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
  7. Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  8. S

    SoC03 Nataka kulala masikini kuamka tajiri

    Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...
  9. Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  10. Kujiajiri kunaweza kuwa utumwa, mwaka wa tatu huu bampa to bampa kuamka alfajiri kurudi usiku, sina muda wa kutosha hata wa kupumzika na mtoto wangu

    Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee. Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
  11. Ni wakati sasa Wakenya kuamka na kukataa kuendeshwa na huyu babu

    Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi. Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi, ambayo yataharibu sifa nzuri ya Taifa yao ya Kenya kwa uroho ya madaraka ya mtu mmoja asiyetosheka...
  12. Kunawakati mwanamke aweza kuamka amenuna tuu.

    Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full kufokewa utafikiri hakuwazaa yeye. Unajaribu kuscan umefanya kosa gani over a night unajikuta mbona hamna...
  13. Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  14. Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  15. Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

    1. Dj - Hasa kuanzia alhamisi hadi jumapili 2. Nesi - wengi ni kila siku 3. Mlinzi - siku 6 usiku, siku 6 mchana, ndio utaratibu
  16. Kuamka asubuhi ni changamoto

    Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale. Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…