kuachiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  2. Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  3. W

    PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
  4. Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

    Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika. Hatimaye yametimia leo.
  5. Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  6. Diddy anaweza kuachiwa kati ya tar 8 mwezi wa 1 mwaka 2026

    Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
  7. Mastaa Lukamba, Rose Ndauka watamani kuachiwa kwa Tundu Lissu

    Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali. Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
  8. O

    Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  9. GE2025 Kama mahakama ni chombo cha kisheria kwelikweli, then there's no way bali kumwachia huru Tundu Lissu J'3 15/09/2025 aendelee na maisha yake!

    https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF 1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria.. 2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
  10. O

    Akili Yangu Inaniambia Yule alieko Jela anaenda Kuachiwa Hivi Karibun Ili Kuzima Aya magumu Aliyoyaongea Bw. Slowslow!

    Naam! nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza! Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
  11. Tetesi: Inadaiwa Ombi la kuachiwa Lissu limefika mezani kwa Wakuu na linajadiliwa

    Habari za Jumapili! Najulishwa hapa Ombi la Kuachiwa Tundu Lisu Lipo meza ya Wakuu linajadiliwa. Kuona kama umuhimu wa kumuachia kabla ya septemba 7. Yapo makundi mawili; Kundi moja linasema akae mpaka baada ya uchaguzi. Kundi jingine linasema aachiwe tuu. Lakini nimejulishwa kuwa wapo...
  12. Tetesi: Lissu kuachiwa kesho

    Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa. Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru. Siongezi neno. Mto wa Mbu Illinois -USA
  13. Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

    Naweka wazi na huu uzi utabaki kuwa ushahidi. Rais mtarajiwa wa jamhuri ya Tanganyika ndugu Antiphas Mwighai Tundu Lissu ataachiwa huru kabla ya may 19 siku ya kusikilizwa kesi yake. DPP atatoka hadharani na kudai hana haja ya kuendelea na kesi hiyo bila kutoa sababu maalum. Huu siyo utabiri...
  14. Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  15. Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  16. S

    Kuachiwa kwa Sanga ni moja ya maridhiano aliyosema Mbowe, hata kama hatumpendi lakini apewe heshima yake

    Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani waachiwe. Mbowe aliliongea suala hili akipinga wale waliokuwa wanadai kuwa maridhiano hayakuwa na tija...
  17. Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  18. Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  19. Mwemba Burton (Mwijaku) alia kwa uchungu Dkt. Nawanda kubambikiwa kesi ya ulawiti, adai wazazi ndio wanaoumia

    Wakuu. Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO: Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
  20. E

    Tazama maneno ya Pavel Durov mmiliki wa Telegram baada ya kuachiwa

    ❤️ Thanks everyone for your support and love! Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use of Telegram, because the French authorities didn’t receive responses from Telegram. This was...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…