kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  2. JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Salaam WanaJF, Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
  3. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

    Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  6. JamiiForums Tanzania Tangu Mdude Nyagali aamue kuachana na siasa, kuna akaunti za JF zilizokuwa zinatukana matusi hazionekani tena

    Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja. Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna muda usiteseke kuna vitu unaweza kuhama au kuachana navyo tuu

    Kuna muda usiutese moyo kitu kama dini sijui kabila au team unaweza kuhama na maisha yakaendelea poa tuu Ni ushauri tuu Muwe na jioni njema
  9. JamiiForums Tanzania Anarudi kwako umpe mimba tu bada ya kuachana miaka kadhaa

    Ni mwanamke Mchepukaji mliye achana miaka mitatu iliyopita,kila mmoja akaendelea na mahusiano yake mengine. Siku ya siku unapokea simu yake anakuomba mkutane kwa kwa ajili ya kuzungumza mawili matatu kuhusu hatima ya watoto wenu, Baada ya kwenda kuonana naye anakwambia alichokuitia sio kutaka...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke huwa anajuta sana baada kuachana na mwanaume mwema sana kwake

    Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
  12. JamiiForums Tanzania 🔋✨ Honda Inachagua Njia Yake! 🚗💨 Na kuachana na Nissan

    🔋✨ Honda Inachagua Njia Yake! 🚗💨 Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV! Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
  13. JamiiForums Tanzania Rose anakuja kuchukua boxers na vibakuli vyake vya udongo baada ya kuachana

    Ila hawa watu wenye majina ya Rrose sijui wanakuaga na mapepe gani
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  16. JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa Ndoa: Kuachana Haraka au Kutatua Migogoro?

    Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷‍♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
  17. JamiiForums Tanzania Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  19. JamiiForums Tanzania Paschal Mayala aepuke dharau dhidi ya Lissu Jembe Letu

    Paschal Mayalla I. UTANGULIZI Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022. Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…