By Malisa GJ,
Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae CeauΘescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania...