kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa kusoma kozi ya bodi ya ununuzi na ugavi(PSPTB)

    Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
  3. JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
  4. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kozi ya maabara vyuo vya Dar

    Wadau natafuta chuo kwaajili ya ku upgrade taalamu ya ndugu yangu kutoka certificate kwenda diploma Naomba kwaanayefahamu chuo chochite cha peivate kiwe Daresalaam. Natanguliza shukrani.
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je dirisha la pili la maombi ya vyuo kwa diploma limefunguliwa kwa wanaoomba kozi za afya tu?

    Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
  9. JamiiForums Tanzania Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  10. JamiiForums Tanzania Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU) SAUT Mwanza Bachelor of Laws Bachelor of Arts in Sociology Bachelor of Philosophy with Education Bachelor in Tourism and Hospitality Management UDOM Bachelor of Education in Science with ICT Bachelor of...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kozi za udemy

    Wakuu wana JF, hope mpo salama. Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo. HGL division II ya point 10, ni kozi ipi yenye future ya kujiajiri ama kuajiriwa?

    Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi. Natanguliza shukurani.
  15. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  16. I

    JamiiForums Tanzania ushauri wa kozi za chuoni

    Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
  17. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya nje ya nchi vinavyotoa kozi za Mtandaoni (Online)

    Habarini. Kwa mwenye uzoefu wa vyuo vikuu vya nje ya nchi vyenye hadhi, vinavyotoa kozi mbalimbali online, naomba anisaidie majina ili niweze kuvifatilia
  19. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kozi ya diploma in pipe works,oil&gas engineering

    Wakuu habari.... Hope mko poa katika ujenzi wa Taifa Kuna hii kozi ya diploma in pipe works oil and gas engineering ambayo ilianzishwa mwaka 2017 chuo Cha ufundi Arusha na mpk sasa inatolewa na NIT, Kimsingi hii kozi ni nzuri sana kwani Ina fundisha vijana skills za mechanical engineering na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…