kosa

KOSA-TV, virtual and VHF digital channel 7, is a CBS-affiliated television station licensed to Odessa, Texas, United States and serving the Permian Basin area. The station is owned by Gray Television, as part of a de facto triopoly with MyNetworkTV affiliate KWWT (channel 30, also licensed to Odessa) and Big Spring-licensed CW+ affiliate KCWO-TV, channel 4 (which is simulcast in high definition on KOSA-TV's second digital subchannel); it is also sister to two low-power stations: Odessa-licensed Telemundo affiliate KTLE-LD, channel 7.5 (which is simulcast in standard definition on KOSA-TV's third digital subchannel and in high definition on KCWO's second digital subchannel), and Midland-licensed Cozi TV affiliate KMDF-LD (channel 30.5). The five stations share studios inside the Music City Mall on East 42nd Street in Odessa, with a secondary studio and news bureau in downtown Midland; KOSA-TV's transmitter is located on FM 866 west of Odessa. The station is relayed on low-power translator K31KJ-D in Big Spring.
On cable, KOSA-TV is carried on Reach Broadband channel 4, and on channel 7 on other systems in the market.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DUUU KUMBE KOSA LA NCHIMBI NI KUWAAMBIA WATANZANIA KUIPIGANIA KATIBA MPYA?

    Inasikitisha sana kama kweli hili ndiyo kisa la kufanya makamu wa rais kutukuzwa. inatia huruma sana na masimango.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bob Marley aliimba hivi "Ukweli unaweza kuwa ni kosa la Jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi dhambi"

    "Kwa sababu mnaniuliza na rasta zangu, Bob Marley aliimba hivi: 'Ukweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu, haijawahi kuwa dhambi.' Truth may be an offense, it is never a sin. Asante sana. Asante, mi niko na nguvu, sitaki kuwachosha askari wangu... Ah nawapenda sana sitaki...
  3. JamiiForums Tanzania Gharama ya Kuchosha Vipaji: Kosa la Kimkakati la Yanga kwa Pacôme na Funzo kwa Koacha Manqoba

    Wana Jamvi Karibuni tuangalie Yanga na mustakabali wa ligi kuu Mada: Gharama ya Kuchosha Vipaji: Kosa la Kimkakati la Yanga kwa Pacôme na Funzo kwa Koacha Manqoba Na Ndine A. Wa-Chiuta Mzunguko wa benchi la ufundi pale Jangwani umekuwa wa kasi isiyo ya kawaida katika misimu miwili iliyopita...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Mpaka Leo kosa la Nchimbi haliko wazi sasa machawa wanapongeza nini??

    Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
  5. JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Nchimbi, ukifanya kosa la kuishi bongo umeisha

    CHIMBA
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Chadema msije fanya kosa la kiufundi kama kwa Lowasa , kumkaribisha Nchimbi.

    Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya. Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  10. JamiiForums Tanzania Siku Kukifanyika mabadiliko ya sheria na makosa yote kua na dhamana isipokua kosa la mauaji, hio ndio itakua mwisho wa ofisi ya DPP.

    Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee. Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kosa la rais Samia ni nini?

    Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa. Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mama Mjane aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kununua mihogo ya wizi ya shilingi elfu kumi .

    Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana langua mihogo na kuuza ili alee watoto wake maan hata mtoto mkubwa alitokea jirani mwema akamchukua...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

  14. M

    JamiiForums Tanzania Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
  15. JamiiForums Tanzania KOSA LA UHARIBIFU WA MALI

    kifungu cha 326 (1) cha Kanuni ya Adhabu [Sura ya 16 R.E 2023]. Chini ya kifungu hiki upande wa Mashtaka au tuseme mlalamikaji anatakiwa kuthibitisha yafuatayo; i. Kwamba mtuhumiwa alikuwa ameharibu au kuharibu mali. ii. Mali hiyo iliyoharibiwa au kuharibiwa ni mali ya mtu mwingine. iii...
  16. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa la kutoa nafasi ya Mungu kwa ajili ya kumpendezesha bosi

    Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na Yusufu akachagua kumpendezesha Mungu Tumekuwa na changamoto kwa watumishi wa sekta binafsi au serikali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Kosa ambalo tumewahi kulifanya CHADEMA ni kuwaamini watu wasioaminika

    John Heche anasema anasema moja ya makosa ambayo wamewahi kuyafanya ni kuwaamini watu wasioaminika, anasema waliwaamini CCM kwenye maridhiano a Mbowe na kumbe ulikuwa ni ulaghai tu na kosa lingine ni kuwaamini CCM kwenye katiba mppya wakati ule wa mchakato bungeni na baada ya hapo CCM kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    Father Kitima kanyooka kama rula. Tupo pamoja na Wakatoriki
  20. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…