Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuacha matumizi ya silaha bandia, likisema vitendo hivyo ni makosa yanayokiuka sheria na vinaweza kuhatarisha usalama wa watu na mali zao. Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Mrakibu wa Polisi Kamisheni ya Upelelezi wa...