korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore.

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
  2. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea kaskazini: Tutaipa Burkina faso msaada wo kijeshi.

    Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso. Sambamba na Korea kaskazini nchi...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wamarekani walalamika uchawa mfano wa Korea Kaskazini katika utawala wa Trump

    Wengi wanaona hizi ni siasa mpya kabisa huko Marekani ambapo mawaziri na watumishi wa Serikali wanashinda wakimsifu Trump kwa sifa zilizopitiliza.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyotolewa kiuchumi na China, mfano ni Korea Kaskazini Vs Korea Kusini

    Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China. Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakiri kupelekea majeshi yake Ukraine kumsaidia Putin

    Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya "ukombozi" wa Kursk, ikinukuu Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Ushirikiano wa Kikakati wa Korea Kaskazini na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Biblia katika Korea Kaskazini?

    Nchini Korea Kaskazini (Na. 1 kwenye Orodha ya Waliotazamiwa Ulimwenguni 2024) ambako Wakristo wanachukuliwa kuwa “tabaka la uadui,” kuwa na Biblia ni kinyume cha sheria . Kuwa na Biblia ndani yao kunaweza kuwa “ushahidi” unaohitajika ili kumkamata na kumfunga mtu (na familia yake) kwa kumfuata...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

    Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ? Maoni yangu binafsi...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

    Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine. Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws...
  9. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  10. dogman360

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Soseji zapigwa marufuku nchini Korea Kaskazini!

    Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa kibepari wa magharibi. --- North Koreans have reportedly been banned from eating hot dogs as part of a...
  12. 5523

    JamiiForums Tanzania BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

    Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka kama Wanajeshi wa Korea Kusini waliokuwa wanasimamia "martial law" wataweza kupambana na wanajeshi Korea Kaskazini kiume

    Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta sana kujikusanya na kujipanga, ni kama hawakuwa na utayari wa kutosha. Pia ukiangilia video jinsi...
  14. 5523

    JamiiForums Tanzania BBC: Urusi imeipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

    Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza. Mafuta...
  15. 5523

    JamiiForums Tanzania BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

    Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
Back
Top Bottom