korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

    Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  3. Mapank

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yajaribu kombora jipya la masafa marefu lenye uwezo wa kupiga Japan

    Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu. Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA. Jaribio...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili kutoka nchini Korea kaskazini

    Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
Back
Top Bottom