kongo

The Kingdom of Kongo (Kongo: Kongo dya Ntotila or Wene wa Kongo; Portuguese: Reino do Congo) was a kingdom located in west central Africa in present-day northern Angola, the western portion of the Democratic Republic of the Congo, the Republic of the Congo as well as the southernmost part of Gabon. At its greatest extent it reached from the Atlantic Ocean in the west to the Kwango River in the east, and from the Congo River in the north to the Kwanza River in the south. The kingdom consisted of several core provinces ruled by the Manikongo, the Portuguese version of the Kongo title Mwene Kongo, meaning "lord or ruler of the Kongo kingdom", but its sphere of influence extended to neighbouring kingdoms, such as Ngoyo, Kakongo, Loango, Ndongo and Matamba, the last two located in what is Angola today.From c. 1390 to 1857 it was mostly an independent state. From 1857 to 1914 it functioned as a vassal state of the Kingdom of Portugal. In 1914, following the Portuguese suppression of a Kongo revolt, Portugal abolished the titular monarchy. The remaining territories of the kingdom were assimilated into the colony of Angola and the Protectorate of Cabinda respectively. The modern-day Bundu dia Kongo sect favors reviving the kingdom through secession from Angola, the Republic of the Congo, the Democratic Republic of the Congo, and Gabon.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kongo: Mtandao wa Intaneti wazimwa!

    Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha muunganisho wa intaneti kimeshuka hadi karibu asilimia 3 ya kiwango cha kawaida, hali inayoweza kupunguza...
  2. figganigga

    Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  3. I

    Pigo Takatifu kwa Wachina: Kongo Kinshasa Yaanza Kuuza Shaba Marekani

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama mafanikio makubwa katika sekta ya madini na biashara ya nchi hiyo. Usafirishaji huo unaashiria...
  4. ELI COHEN

    Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  5. figganigga

    Hassan Yusuf, Dereva wa Usangu ametekwa nchini Kongo

    Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo. Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
  6. K

    Tuige walichokifanya Wakongo waishio Ulaya kwa wanamuziki wa Kongo

    Baada ya uchafuzi wa Kongo uliomuweka Kabila Mdogo madarakani, wakongo waishio Ulaya waliojiita Les Combattants walihakikisha wale waote waliosapoti na kumpigia kampeni Kabila hawafanyi show Ulaya. Waliopatwa na hiyo dhahama walikuwa Koffi Olomide na wengineo. Kosa lao kubwa lilikuwa kupokea...
  7. S

    Kongo na M23 walaumiana baada ya mazungumzo ya amani kukwama

    Kwa mujibu wa kituo cha habari cha D.W: Mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kurejea leo mjini Doha, Qatar. https://p.dw.com/p/4ygiw Picha: Vlad Vanderkelen/Belga/picture alliance/Tony...
  8. Kijakazi

    DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  9. leroy

    Wanamuziki 5 Bora wa Kike wa Rumba kutoka Kongo wa Muda Wote

    Ndugu wanajamii, Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
  10. Kinoamiguu

    Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  11. Waufukweni

    DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  12. Jaji Mfawidhi

    Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

    Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara! Mamlaka zina...
  13. Minjingu Jingu

    Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  14. Dalton elijah

    Kongo Na Waasi wa M23 Kuanza Mazungumzo ya Ana Kwa Ana

    Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9. Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati...
  15. Dalton elijah

    Mhalifu wa kivita Thomas Lubanga Ametangaza Kundi jipya la waasi Mashariki Mwa Kongo

    Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio jingine la usalama katika eneo hilo lililokumbwa na vita. Kuundwa kwa kundi la Azimio la Mapinduzi...
  16. Fbn

    Mashariki ya kongo au upande wa uliopo wanaongea kiswahili ni kama umekosa kuungwa mkono na kuchekewa na watu wanaosema ni afrika mashariki

    Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo. Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe. Kwa nini wasomi...
  17. Poppy Hatonn

    M 23 inapigana kuikomboa Kongo.

    M 23 ipo kwa ajili ya kilio cha muda mrefu wa serikali ya Tshitsekedi; kwa ajili ya ukosefu wa huduma za jamii,ukosefu wa usalama wa raia na mali zao,rushwa katika serikali ya Kongo na uzembe na ubadhirifu wa serikali Ile. Kwa sababu,sijui wewe una mlengo gani wa kisiasa,sijui una falsafa gani...
  18. Crocodiletooth

    Tshekedi, huenda akaingia mkataba wa kimadini na US, katika kulinda imaya ya Kongo!

    Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali inaibiwa tu bure bure na wahuni, =============== In his first interview since an armed group backed by...
  19. I

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  20. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

    MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE) NICKEL COBALT MANGANESE TANTALUM (COLTAN) TUNGSTEN ( WOLFRAMITE) HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
Back
Top Bottom