kongamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  2. JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi wavunja kongamano la BAVICHA Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila. Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na...
  4. JamiiForums Tanzania Waliochukua fomu karibuni kwa Mwamposa

    Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote. https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
  5. JamiiForums Tanzania Kichaa kwenye kongamano la wanazuoni

    "Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi, anadhani mwenye hekima, kumbe ni kichaa anayejitambulisha kwenye kongamano la wanazuoni!" — Alloyce, P.R.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza hotuba nzima za washiriki wa Kongamano la TLS, notable Warioba etc

    https://www.youtube.com/live/a0_B4bs_Kpo
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  8. JamiiForums Tanzania Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  9. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wazee Maarufu na Mashuhuri wa Tabora

    https://www.youtube.com/live/DbZXc2xgRBw?si=a-oNRfgTi6lXcL_v
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Simiyu wasusia kongamano la RC Kihongosi kumuunga mkono Samia

    Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025. mkutano huo umefanyika wilaya ya Bariadi ambapo hata mbunge jimbo husika la...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inayofanyakazi: Serikali ya #JMT🇹🇿 na @UNWTO zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya 🇹🇿 Kongamano la Chakula

    HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
  12. JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwinyi Baraka: Uislam na Uzalendo

    https://youtu.be/vMA8MAZBB2Y?si=RWfDDfmV8WrzNacW
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh (the international conversation and exhibiti

    Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
  14. JamiiForums Tanzania Kongamano la Ladies In Red

    Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Uganda: JamiiForums Yashiriki Kongamano la Afrika Kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Desemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka huu wa 2024 Kongamano hilo linaangazia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kama nyenzo muhimu katika ukuaji...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November. Ambapo kongamano hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba, kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024. Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki takriban 600...
  18. JamiiForums Tanzania Mwana FA amwakilisha Waziri Abdallah Ulega Kongamano la Utamaduni wa Kiislam mkoani Lindi

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
  19. JamiiForums Tanzania TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

    (FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kongamano la kitaifa juu ya matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS limehairishwa

    Nimekutana na taarifa mtandao wa X juu ya kuahirishwa kwa kongamano la kitaifa juu matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS ambalo lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo plaza, je taarifa hiyo ina ukweli wowote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…