kondoo

Kondō Isami (近藤 勇, November 9, 1834 – May 17, 1868) was a Japanese swordsman and official of the late Edo period. He was the fourth generation master of Tennen Rishin-ryū and was famed for his role as commander of the Shinsengumi.

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    SI KWELI Kondoo anaweza kupambana na kuzuia radi

    Kuna huu uzi nimukutana nao umenikumbusha nilikua mdogo nilikua naambiwa sana stori za uwezo wa Kondoo kupambana na Radi, Hapa stephot kwenye uzi wake alisema "kuna kipindi nilipokuwa likizo nilitembelea mikoa ya Dodoma, Singida, Manyara na Arusha, nilichokigundua ni kuwa wafugaji karibu wote...
  2. M

    Kondoo 17 wauawa, watano wajeruhiwa na fisi wanne Itilima

    Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua mifugo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa manane, leo Agosti 20, 2025. Shambulio hilo lilitokea majira ya saa sita usiku katika...
  3. tonicimmobility

    Chatu ameza kondoo shambani - Arusha

    Mkufunzi kutoka Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori cha Afrika, Mweka, Tito Lanoy, amesema wamefanikiwa kumwondoa nyoka aina ya chatu, ambaye alikutwa kwenye shamba la mfugaji akiwa amekamata kondoo na kummeza. Tukio hilo limetokea leo, Agosti 14, 2025, eneo ni Dolly estate, Usa river, Arusha. Soma...
  4. J

    Petro je wanipenda? Lisha kondoo wangu

    Yohana 21 : 15 Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, “Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?” Yeye akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha wana-kondoo wangu.” Yesu akamuuliza tena, “Simoni, mwana wa Yohana, wanipenda?” Petro...
  5. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

    Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
  6. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Simba SC Wanajikaanga Wenyewe Kama Mkia wa Kondoo kwenye sufuria la moto

    Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
  7. Richie Henry

    Ufugaji wa kondoo na ng'ombe

    Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine? Ahsante naomba kuwasilisha
  8. Juma Wage

    Kama Gwajima Ndiye Mtetezi wa Haki, Basi Fisi Ni Mlinzi wa Kondoo

    Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi. Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
  9. Echolima1

    Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  10. W

    Wananchi Morocco watakiwa kutokununua kondoo kwenye sikukuu ya Eid al- Adha kutokana na mfumuko wa bei

    Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi. Ukame wa miaka saba umepunguza idadi ya mifugo nchini humo, na kusababisha bei ya kondoo kupanda hadi...
  11. K

    Busara za kondoo kwa mbwa mwitu!

    Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu. Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi inahitaji Mbwa mwitu wengine kupigania kondoo sio vinginevyo. Hili ni fundisho kuna wakati hutakiwi...
  12. ELI COHEN

    Kwanini kafara au matambiko wanatumika njiwa, kuku, mbuzi au ng'ombe na sio mbwa, kondoo, kanga au paka?

    😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
  13. G

    Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  14. briophyta plantae

    Somo la kutafakari kwa kina. Kobe au kondoo?

    Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma. Sasa simba...
  15. N

    INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  16. dr namugari

    Pesa za Umma zinatumika vibaya na tuko kimya kama kondoo

    Nimeona upuuz wa kizmkazi na tukio la kufuja pesa za wananchi wafuja jasho Watu wa kada mbali mblia redio kubwa kubwa zote ziliamia kizimkaz kurusha matangazo live na Leo kukuzanya wakuu wote wa mikoa na wilaya kulazimizhwa kufika zanzibar kizmkazi. Watanganyika umetulia kama kondoo huku...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  18. S

    Hongera kwa machawa. Walaumiwe waliojigeuza kondoo wa kafara

    Taifa letu soon litageuka kuwa si mahala salama pa kuishi. Uhalifu utaongezeka kama kule Haiti kwasababu watu wengi watakata tamaa ya maisha. Hivi Sasa kila kitu kinaenda hovyo hovyo lakini waliopewa dhamana ya uongozi kwa kuwa wao wanakula na kushiba wanachukulia poa tu. Idadi kubwa ya watu...
  19. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  20. Baraka Kasinge

    USIWE KONDOO MWENYE KIBURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea tofauti za mto. Mmoja akitokea mashariki na mwingine magharibi. Walipoufikia ule mto, kila mmoja kwa upande wake alihitaji kuvuka. Kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Basi, walipolifikia lile gogo...
Back
Top Bottom