Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
Iran imerusha makombora yake ya kwanza kuelekea Israeli leo Jumatatu Machi 09, 2026 baada ya kuteuliwa kwa Kiongozi mpya mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu, Ayatollah Seyyed Mojtaba Khamenei.
Kituo cha utangazaji cha Serikali ya Iran IRIB kimesema kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba Iran imefyatua...
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱
Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati linasafiri. Halihitaji GPS kujenga Shabaka . wewe Eleza tu, laser, na kombola linaendelea kuharibu...
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
Inaonekana huu ni mpango wa muda mrefu kwa Yemen. Ambapo Jana imefanikiwa kufanya mashambulizi ya kombora la masafa marefu na kulenga shabaha katika miji ya Tel Aviv na lod huko nchini Israel baada ya kurusha aina mpya ya kombora linalogawanyika hewani zaidi ya mara 80 kabla ya kupiga shabaha...
Hamjambo!
Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake.
Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa...
Urusi inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin.
Amesema kombora "halipai juu sana, ni vigumu sana kulitambua likipita, lina uwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia na linaweza kufika popote pale.
Aidha, njia linayofuata...
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.
Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio...
Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'
Chanzo cha picha: Getty Images
Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote...
Now, make it make sense.
Israel huwa ikilipua spitali za Gaza inadai kwamba jengo lilikuwa linatumika kama command center ya Hamas, etc.
Jana/ mapema leo Iran nayo imerusha kombora kwenye moja ya spitali huko Israel na viongozi wa Kiyahudi wanalialia kuwa Iran imecheza rafu 🤣.
Well, mi nahisi...
Wadau hamjamboni u. 6 minutes ago
Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12
Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in southern Israel targeted by an Iranian missile attack. pic.twitter.com/G4v0MLy8W4
— Iran...
IDF ilitambua kombora lililorushwa kuelekea Israeli kutoka Yemen na magaidi wa Houthi ambalo liliangukia eneo la ardhi ya Saudi Arabia bila kudunguliwa siku ya Jumatano, kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Israeli.
Siku ya Jumanne, Israeli ilifanya mashambulizi ya anga yaliyolenga...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Wadau hamjamboni nyote?
Mungu anazidi kuipigania Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel::
A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at Israel, fell short in Saudi Arabia, according to a defense source.
The missile was identified by...
Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha.
Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev
Wakati huohuo...
Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu.
Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
Wanaukumbi.
Baada ya Israel kumuuwa kiongozi wa Hezbollah wanadhani vitu vimeisha ndiyo kwanza kuna zaidi ya makombora 1000.0000 hayajagushwa.
Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv
Waisraeli waliamini kuwa wameivunja moyo Hezbollah kwa...
Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.