kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kombe la NBC waliloshinda yanga sc halijawahi kutokea

    Hakika Yanga sc mmetuheshimisha wana jangwani kwa kombe bora na zuri kama hili.
  2. JamiiForums Tanzania Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Kombe la ASFC waliloshinda yanga limeharibika

    Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika. Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

    Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
  5. JamiiForums Tanzania FIFA kuruhusu timu kuwa na wachezaji 26 Kombe la Dunia

    Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022. Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo awali kila timu ilitakiwa kuthibitisha majina ya wachezaji 23 kwenye kikosi chake lakini sasa kutokana...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea

    "Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA" "Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta" "Tumeomba viongozi wa Uwanja wa Sokoine na wa bodi ya ligi kusogeza nyuma muda wa kucheza kutoka saa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya kuteseka kwa miaka 5. Hongera watani!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la Darts 2022

    Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha. Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia. Rai: wizara ya michezo itie mkazo kwenye hii michezo midogo midogo inaweza kututoa kimasomaso, msikazanie soccer tu!
  9. JamiiForums Tanzania Hili Kombe la Ligi Kuu 2022 ni kama Blender ya kusagia juisi

    Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli. Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana...
  10. JamiiForums Tanzania 2014 Kombe la Soka la Dunia Pigo kubwa kwa Brazil Mafanikio makubwa kwa Mwanahabari aliyejielewa

    Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    ======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
  12. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Tanzania haina bus la parade kwa mabingwa kuonyesha kombe,Utopolo kakodini zambia

    Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
  13. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga nusu fainali ya kombe la FA Tanzania bara!

    Bashiri matokeo sahihi ya kesho kati ya simba vs Yanga! mimi naenda 1-1.
  14. JamiiForums Tanzania Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

    Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
  17. JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

    Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika. Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani. Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

    Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside Pia...
  19. JamiiForums Tanzania Tazama hela wanazopata Timu Zilizofuzu robo fainali Kombe za Shirikisho

  20. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2022: Droo ya Hatua makundi

    Ikiwa imesalia miezi michache kwa kombe la Dunia mwaka 2022 kuanza, leo hii itafanyika Droo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo mjini Doha. Droo hiyo itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…