kodi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kupitia luku iliyoletwa kinyemela, imeondolewa kinyemela!!

    Salaam, Shalom!! Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote. Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila...
  2. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  3. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mmoja alipe kodi anayostahili kulipa

    https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ukitaka wakufunge kirahisi nchi za wenzetu ukwepe kodi, ila kodi yao inafaida kuliko hapa

    Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa. Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  8. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Nyie TRA njooni kodi nyingine iko huku!

    WAKATI nakua na kupata fahamu za kujua kuwapo kwa Mungu, ipo siku wazazi wangu waliniamsha alfajiri na kunivisha nguo ambazo sikuwahi kuzivaa, zilikuwa mpya; shati na kaptura, tofauti na zamani nikivaa shati refu tu bila kingine chini. Baada ya kuvishwa nguo hizo nikiwa nimemaliza kuoga, tukala...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isiwe na kodi moja kwenye makato yake?

    Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
  10. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alisisitiza kuhusu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo lakini inafanyika kinyume chake

    Bwana yesu asifiwe. Iko hivi, kuna kifaa nilinunua chenye thamani ya laki tatu, muuzaji aliponiandikia risiti aliandika elfu tatu, nikasema hili sikubaliani nalo. Wakaniambia wanipunguzie kidogo bei halafu risiti ile niichukue, nikasema no, mwisho jamaa akaandika laki tatu. Hivi ni wangapi...
  12. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Kupanua tax base-makanisa, ministries, misikiti vihusike kulipa kodi

    ♻️ Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi.. ♻️ Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo.. Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu.. ♻️ Kufuatia ukwasi mkubwa wa taasisi za kidini kupitia mapato ya Sadaka,dhaka,mafungu ya kumi..Malimbuko...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Mikopo ikawa mbadala wa kulipa Kodi?

    Salaam, shalom!! Nimesikiliza hotuba ya kiongozi wetu mkuu akisema kuwa, waliamua kuongeza Kasi ya kuchukua mikopo Kwa kuwa walijua wananchi wengi ni wakwepa Kodi hawalipi Kodi ipasavyo. Kwamba mikopo iliyopatikana, ilikwenda kuziba pengo la matumizi ya upungufu wa makusanyo ya Kodi. Kwamba...
  14. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo

    Tunaomba TANESCO watuambie ukweli kuhusu ongezeko katika kodi ya jengo. Awali kupitia barua waliyotoa tarehe 2 July 2024 walisema ongezeko hilo ni kwaajili ya madeni ya nyuma! Sasa tunaomba kufahamishwa baada ya makato hayo gharama zitaendelea kuwa zile zile za awali ambapo ni 1500 au ni 2000? 🤔
  15. Magazetini

    JamiiForums Tanzania KERO Nimepiga simu Tanesco kuhusu makato kodi ya Jengo, hata wenyewe hawajui kwanini wamenikata. Huu wizi!

    Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila mwezi, hili deni wanalosema sijalipa mwaka mzima limetokea wapi? Majibu(TANESCO ): Hizi taarifa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya ardhi sijui jengo

    Wabari wa jambi kuna kitu nimekuwa nakiwaza naona kinanipa utata aidha mnisaidie kunielekeza 1. Je tanesco wanatoza kodi ya JENGO AU ARDHI? 1.1. kama ni ardhi kwanini mtu mwenye eneo lake anafuga kuku au mbuzi au analima ila anatumia umeme wa solar au hatumii umeme kabisa au mshumaa hapigwi...
  17. Mburia

    JamiiForums Tanzania Tanesco kodi ya jengo imepanda?

    Wanajamvi leo nimenunua umeme wa 25,000/= na makato yalikuwa kama ifuatavyo: MAKATO 1. VAT 2,803 2. EWURA (1%) 155.74 3. REA (3%) 467.21 4. DEBT COLLECTED 6000 TOTAL 9,426 BALANCE FROM MY 25,000 = 15,574 Sasa hii 6000/= ni ile kodi ya majengo imepanda?
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi hawakatwi kodi?

    Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Africa msikimbilie kukopa na kuongeza kodi, mnatakiwa kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa taifa

    Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far. Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu. Kwa mfano...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Majirani Uganda wamerudisha Kodi ya EV

    Wakuu vipi. Majirani zetu Uganda wanamzuka sana na Electric Vehicles na Hybrids. Kuonesha mzuka wao, serikali ikaona itoe kodi (zero tariff) kwenye EV, E-Bikes na kupunguza kwenye hybrids kwa mwaka wa fedha 2023/24. Huu msamaha ukapelekea gari za EV zilizoingizwa UG kwa mwaka 2023/24 kufika...
Back
Top Bottom