Si vyema kutaja majina ya matajiri, au wanasiasa waliosigina Sheria za kanisa lakini walupokufa kanisa likawaheshimu na kuzikwa kwa hadhi ya juu.
Yes, mtu akifa, amekufa tu hata akitupwa baharini, achomwe moto au azikwe na nani haisaidii kitu ila walioachwa ndio hupokea heshima au fedheha...
Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo .
Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania.
Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ???
Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa .
Mimi siungi mkono kabisa .
Na nawaambia...
Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi
Nimewadharau sana KKKT...
Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake.
Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa.
Aliwambia hata akitokea mtu...
Wakuu,
Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu
Jeshi la Polisi sio...
Wakuu,
Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani
Hakikisha Uchaguzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100.
Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo ametoa hotuba ambayo sikutegemea.
Kwenye hotuba yake ya kufungua Mkutano mkuu wa CCT Leo jul 3, 2025 mjini Dodoma alinyooka kwenye kauli yake ya kuunga mkono wazi wazi msimamo wa kanisa Katoliki wa KUPINGA kuteka, kuua na kupoteza watu.
Anasema watanzania...
Hebu wenzangu na ninyi angalieni UPENDO TV muda huu.
Ni kampain zaidi ya kampeni.
KKKT tunakwama wapi?
https://www.youtube.com/live/WlGZ2ocj6Bk?si=C2R94OQyjKIPMvuC
GT
Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana.
Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi...
Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu.
Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC)
Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.