kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

    USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO. Anaandika Robert Heriel Baba Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba, Babu, Baba yake Babu. Babu yake Babu. Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

    Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa. Nakiri kuwa humu JF kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

    Hello bosses.... Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced. Kiufupi hizo ni:- 1) BLOOMBERG TERMINAL 2)MICROSOFT EXCEL...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

    Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo. GMO ni nini? Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Habari za wakati huu wanajamiiforums! Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli. Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi! Wengi wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  7. JamiiForums Tanzania Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

    Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap 1. Nacha 2. Stamina 3. Young Lunya 4. Chid Mentary 5. Tommy Thomas
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

    MAANA Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke. JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI? Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi Picha 01. Sehemu ya shingo ya...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu 12 za kulea watoto wanaojiamini (6 za kwanza zitaibua kizazi cha ‘Ma-genius’!)

    Sisi sote ni zao la malezi tuliyoyapata kwenye familia na jamii zetu. Wataalamu wengi wa makuzi ya watoto hukubaliana kwamba miaka sita ya kwanza ya malezi ndiyo hujenga haiba, tabia, na kukamilisha ujenzi wa utambulisho wa mtoto! Sisi ambao tumepewa wajibu wa kulea au kuwa na mchango kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Vitu ninavyojivunia katika kizazi hiki

    Wasalaam. Leo mimi na wewe nataka tuanze kujivunia kuzaliwa katika kizazi hiki, nikimaanisha wale amabao tume/wamezaliwa kuanzia miaka ya 1900 – 2000. Kwanini nasema hivi, nasema hivi sababu kuna mambo tumeyashuhudia katika kipindi chetu au hata kama sio kushuhudia basi tumehadithiwa na watu...
  11. JamiiForums Tanzania Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

    Leo jioni nikiwa kwenye kijiwe/kidukabia cha Manka hapa mtaani hasa mida kama hii nalazimika kuangalia kile wanachoangalia wateja wengine. Basi bwana kikakuta tamthilia ya saluni ya mama Kimbo Ila kila nikiangalia sioni mafunzo chanya ya kizazi kijacho nikajiuliza hivi haka katoto kanachoigiza...
  12. JamiiForums Tanzania Thamani kubwa iliyobebwa na samaki

    Ni matumaini yangu ulishawahi kusikia makundi mbalimbali ya vyakula kipindi unasoma elimu ya msingi. Ambapo ulijifunza kuwa kuna Kabohaidreti/wanga, protini, fati, vitamini na madini asilia. Katika kundi la protini ulisoma kuwa, ni vyakula vinavyosaidia katika ukuaji wa mwili pamoja na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tulinde kizazi cha watoto wetu wa kiume

    TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu, lakini pia nimshukuru Mungu kwa kuumba jinsia mbili hapa duniani, yaan jinsia ya kiume na jinsia ya kike, na zaidi ya hapo amegawanya majukumu ya kufanya kwa kila jinsia katika...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 "Nani kama MAMA" kauli yenye ushindi mkubwa mno kwa mama aliyelea peke yake wenye siri kubwa mno kwa kizazi kijacho

    Dhamira yenye Matunda ya kheri huifanya dira iwe na muelekeo wenye matokeo chanya, naweza nisieleweke vizuri lakini wote tunakubariana kwamba panapokosekana amani pana kilomita nyingi ili kuufikia Upendo, umbali Kati ya amani na Upendo kati ya baba na mama waliotengana huweza kuwafanya wamama...
  16. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Ngorongoro, Loliondo faida kwa kizazi kijacho

    Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu. Watanzania tuna kila sababu ya kulitunza eneo hilo kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae kwani thamani...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kulea watoto wa kizazi cha sasa

    Wakuu nimerudi Tena katika Story of change, Naomba Leo niwashirikishe mbinu nzuri za kuwalea watoto katika kipindi hiki Cha utandawazi! Kwanza nikiri wazi Mimi ni mzazi na mwalimu pia, kwahiyo haya ninayoshauri ni mambo ambayo Binafsi nimeyaona yakifanya kazi kwa ufanisi mkubwa! Kabla sijatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Pasu kwa Pasu haiwezekani enyi vijana

    PASU KWA PASU HAIWEZEKANIKI ENYI VIJANA. Anaandika, Robert Heriel Mtu huchagua maisha yake mwenyewe katika Baadhi ya Maeneo, kuchagua uwe Mmiliki au mmilikiwa ni Moja ya uchaguzi binafsi wa mtu, mtu unajiamuliwa mwenyewe. Ukishachagua upande wa MMILIKIWA elewa Kabisa hakuna kitu kinachoitwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu ya Pwani, Kanda ya Ziwa kuwa na Wagonjwa Wengi Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo. Kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema, kama alivyo Tundu Lissu, ni kama kile kizazi kinachotoweka cha wapagani uhuru wa bara hili kutokana na ujasiri walionao

    Mdude CHADEMA, kama alivyo Tundu Lissu, ni miongoni mwa binadamu wachache sana wenye ujasiri na walio tayari kukabiliana na hatari iliyo mbele yao kwa lengo la kupigana kile wanachokimimi ni sahihi kama vile kupigana haki za watu wengine, uhuru wao, n.k hata ikibidi kwa gharama ya maisha yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…