kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha kina sq merter za mraba 500+ kimepimwana kina bicon

    Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa na 10m Leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi? Kufungua pharmacy AU duka la hardware AU kununua kiwanja? Kipi bora?

    Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
  3. JamiiForums Tanzania BEACH PLOT,INAUZWA,IPO KIGAMBONI GEZAULOLE,UKUBWA WA KIWANJA 1875,SQM BEI TSH MIL 400

    Beach plot for sale Size sqm 1875 (hati ya wizara) Location:Gezaulole kigamboni bei Bei:milioni 400 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #vairal_video_tiktok #forsale #creatorsearchinsights #plotforsale #beachplotsforsale
  4. JamiiForums Tanzania KERO Mwanajeshi mstaafu afunga barabara ya mtaa akidai ni kiwanja chake

    Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake. Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja chake, lakini sasa anaziba barabara kabisa. Swali linajiuliza, kama kweli hiyo ndiyo mipaka ya kiwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa madale mvumoni (ushuani )

    KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI 📍 Mahali: Madale Mivumoni 📐 Ukubwa: SQM 1,600 📄 Kimepimwa rasmi na kina Hati ya Wizara 🌳 Kipo katika mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi Kiwanja hiki kinafaa kwa: ✅ Ujenzi wa nyumba ya kifahari ✅ Apartments au nyumba za kupangisha ✅ Uwekezaji wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi

    KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako! Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo Ukubwa: Meta 20 × 25 Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo) Umeme upo karibu Maji yapo karibu Barabara ya gari inafika...
  7. JamiiForums Tanzania KIWANJA 8000SQM,BEI BILLION 5,KIPO BAHARI Beach (BEACH PLOT)

    Beach plot for sale Country:- Tanzania City:- Dar es salaam Location:- Bahari beach Price:- Billion 5 negotiable (Maongezi) Plot size:- SQMT 8000 Document:- Clean title deed (Ina hati kitoka wizarani Note:- Viewing charge 200K For more information call+255758844717 #beachplotsforsale...
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Milioni 10 tu

    Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho. Kipo barabarani kabisa Nitumie message inbox if interested
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

    Habarini wakuu, Niko hapa kuomba ushauri . Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka...
  10. JamiiForums Tanzania Nihame kiwanja Nina Toto Lina makebo balaa

    Hatari sana aiseee
  11. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  12. JamiiForums Tanzania Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  13. JamiiForums Tanzania Kiwanja nilichonunua Tsh. Milioni 4 kilivyonipa zaidi ya Tsh. Milioni 20

    Mwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa ndo nimeanza kazi sikuwa na pesa kabisa. Kwenye account nilikuwa na M 4 tu na mwenye eneo alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa, Kibaha Maili Moja Loliondo

    KIWANJA KINAUZWA – KIBAHA MAILI MOJA (LOLIONDO) Unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba au kuanzisha biashara? Hiki ni fursa nzuri! 📍 Mahali: Kibaha Maili Moja – Loliondo (Kwa Mama Rose) 📐 Ukubwa: 35.62m × 27.12m = 966 sq.m ✅ Kiwanja kimepimwa ✅ Kinafaa kwa makazi au biashara ✅ Umeme...
  15. JamiiForums Tanzania Usikope kiwanja, huna hiyo hela

    Kitendo cha kukopa kiwanja ni ishara tosha kwamba huna hela tafuta hela
  16. JamiiForums Tanzania Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

    Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19. Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa. Karibu DM tuyajenge ujipatie...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Mbezi Mpigi Magoe -kwa mzungu

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU) Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako! Ukubwa: Mita 20 × 20 Kiwanja kimepimwa Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili Maji na umeme vinapatikana jirani...
  18. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe-kwa Paulo

    KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MAKABE (KWA PAULO) 📍 Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa. 📐 Kiwanja kimepimwa Ukubwa: 4,333 m² (Takribani Ekari 1.07) ✅ Eneo Kuu: 3,131 m² ✅ Swamp: 1,202 m² ⭐ Sifa za Kiwanja ✔️ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala...
  19. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B kina nyumba za self

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90. Kwa anaye hitaji apuge simu 0796538437 mmiliki wa kiwanja
  20. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Arusha Sanawari

    Ni kiwanja kiluchopo Sanawari chapili kutoka Lami ya bara bara kuu ya Arusha Moshi. Kiwanja kipo jirani na Redio mbingu duniani kinauzwa Milioni 110 top. Ukubwa ni 20x20. Kinafaa kujenga apartments za ghorofa au mahitaji mengine. 0785931267 kelvin kwa maelezo zaidi na kupelekwa site kilipo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…