kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  2. A

    Mikopo isiyoenda katika shughuli za kiuchumi ina maana gani kwa taifa letu?

    Moja kwa moja niende kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyosema Kumekuwa na sintofahamu juu ya kauli iliyotolewa na mheshimiwa spika, bwana Job Ndugai hivi karibuni na hata yeye mwenyewe ameamua kuikana kauli yake baada ya mashinikizo kadhaa kutoka kwa watu na viongozi mbali mbali...
  3. Madawa ya kulevya hayana shida kihivyo, kilichopo ni vita tu ya kiuchumi

    Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana. Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
  4. L

    Wakati Afrika inajikwamua kiuchumi, Marekani “inavunja ngazi” na China “inajenga ngazi”

    Hivi karibuni, hotuba iliyotolewa kwa njia ya video na mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo Endelevu cha Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani Jeffrey Sachs ilifuatiliwa na kuitikiwa sana na watu wa Afrika. Kwenye mkutano huu wa Umoja wa Mataifa, profesa huyu alitoa mfano wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya...
  5. mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
  6. Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  7. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  8. B

    Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

    Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau: Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli. Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani? Watuonyeshe mbaya wetu. Zikawe ama zake ama zetu!
  9. Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  10. J

    Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  11. K

    OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  12. Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  13. Ripoti: Janga la COVID-19 limewaathiri zaidi Wanawake kiuchumi na kijamii

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
  14. CCM Mnatupekeka Wapi Kiuchumi?

    Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
  15. Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  16. M

    Jinsi MBS anavyoipaisha Saudia kiuchumi nje ya Mafuta

    Inakuwaje wanajamvi! Bwana mdogo Mohammed Bin Salman mwana wa mfalme wa Saudi sasa hivi anaipaisha nchi yake kiuchumi nje ya Mafuta kwa kasi ya ajabu na hatarii haijawahi kuonekana. . Viwanda vinachipuka kama uyoga. Wa saudia sasa hivi bidhaa nyingi hawanunui au kuagiza kutoka nje zinazalishwa...
  17. Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  18. ILO: COVID-19 imeumiza mataifa kiuchumi

    Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19, wakati mataifa yanayoendelea yakisemekana kuathirika zaidi yakilingaishwa na yale yalioendelea. Wachumi...
  19. Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

    Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka. Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri. Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya...
  20. M

    Mohamed Salah anazeeka vibaya

    Inakuwaje wanajamvi! Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…