Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata hujawaita ,ukiwaambia nipo around sihitaji usafiri,tena chapu kwa haraka pikipiki zao zinarudishwa...