kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali

    Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali Wakuu kwema, Teknolojia na uchunguzi wa anga za mbali si suala la mataifa ya Magharibi pekee. Wala si lazima tuanze kwa kujenga roketi au roboti za kwenda angani. Tunaweza kuanza na kituo cha kisayansi kama maabara ya uchunguzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa mwendokasi unakata fedha mara mbili kwenye kituo kimoja kimakosa

    Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka kituo hadi lango: Namna SGR nchini Kenya inavyobadilisha Voi

    Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi waliwasili kwa treni ya asubuhi wakitokea Mombasa. Baada ya kuangalia msitu wa Tsavo, walikuwa wakiendelea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi (clinical officer)

    Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba Kwenda mkoa wowote kati ya hii LINDI MTWARA RUVUMA Mawasiliano 0791823730
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba tuwekewe Kituo cha Daladala, kutegemea hizi zinazopita kunatuathiri na kutupa gharama kubwa

    Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka. Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi

    Habari wakuu? Nahitaji mtaalamu wa maabara wa kubadilishana nae kituo cha kazi AJE MTWARA NIENDE MBEYA(wilaya yoyote) Asanter
  8. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala "Kwa Yusuph" Mbezi Mwisho kutumika kama Kituo cha Malori, si salama

    Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku. Hii...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusiana na taarifa kuhusiana na Kituo cha Afya Kigamboni: Hatua zimechukuliwa, asanteni JamiiForums

    Hello wanajukwaa, Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
  12. JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta Lake Oil chateketea kwa moto Geita

    https://www.facebook.com/share/v/19DSDGvKwW/ Chanzo cha moto👇 https://www.instagram.com/reel/DanG7CasUE4/?igsh=MWVqYWtsbDN1cnc2bw==
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Afya Makurumla (Dar) hatulipwi malipo ya overtime pia tunaambiwa tuwatoze wajawazito

    Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam. Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa watumishi. Tulilipwa mara ya mwisho mwezi Oktoba 2025, na tangu Novemba hadi sasa hatujalipwa kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  16. JamiiForums Tanzania Nimetoka. Nyumbani nikaenda kumsalimia Mkuu wa kituo cha polisi, akaishia kunishangaa.

    Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa. Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea Akachukua note book na karamu tayr...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kindimbachini - Mbinga kuna Mtumishi wa Umma anauza dawa za Taasisi kimnyemela

    Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini. Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kuzinduliwa kwa kituo cha makumbusho ya rais mstaafu Barack Obama

    https://www.youtube.com/watch?v=LQuVd8blxm4
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wajawazito wanasita kwenda Kituo cha Afya Nindo - Shinyanga Vijijini sababu wanatozwa hela

    Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
  20. JamiiForums Tanzania Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…