kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ndege Yashambulia Kituo Muhimu Cha Kijeshi Tehran!

    IRANIAN ARMY OFFICE / AFPAn Iranian missile being fired during the last day of the air defense exercise of 'Aseman Velayat 99', in an unidentified location in Iran on October 22, 2020. The attack was allegedly launched from inside Iran Overnight Friday, a drone reportedly struck a ballistic...
  2. JamiiForums Tanzania Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  3. JamiiForums Tanzania Mustakabali wa kituo cha anga cha ISS mara baada ya Russia kuwekewa vikwazo

    UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss ambapo kituo hichi kimekuwa kikishirikisha ushirikiano wa mataifa kadhaa makubwa katika pande...
  4. JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yarusha chombo cha anga za juu kumalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China

    China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita. Wanaanga hao watashirikiana na timu iliyoko duniani kumaliza kuunga na ujenzi wa kituo cha anga za juu cha...
  6. JamiiForums Tanzania Jua tofauti ya Unleaded na Super/Premium Unleaded Petrol

    Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata [additive] cha lead... . Hiki ni kiambata ambacho kilikuwa kinaongezwa kwenye Petrol ili kuongeza...
  7. JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  8. JamiiForums Tanzania India: Adaiwa kubakwa alipoenda Polisi kuripoti tukio la kubakwa

    Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua...
  9. JamiiForums Tanzania Mshtuko Mkata: Wananchi waandamana hadi kituo cha Polisi kushinikiza mwananchi mwenzao aachiwe

    Ni huko Mkata Handeni Tanga. Wananchi wamechoshwa na uonevu? Huenda.
  10. JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

    Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia? Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama...
  11. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya robo tatu ya mwaka 2022

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa shughuli za uratibu na utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia utoaji wa huduma mahala pamoja ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Aga Khan kujenga kituo cha Saratani kwa Billioni 13.8 jijini Dar es Salaam

    HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza. Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  15. JamiiForums Tanzania Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi

    Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua...
  16. JamiiForums Tanzania Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zipi FAIDA na HASARA za kukaa mbali na unakofanyia kazi?

    Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake. Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika. Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali, lini kituo cha Daladala Kawe kitafanyiwa ukarabati?

    Kawe ni sehemu yenye wakazi wengi na pia eneo hilo hutumiwa na watu wanaosafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa katika kusaka riziki zao. Cha kusikitisha, Kawe haina kituo cha daladala cha kueleweka. Kwa sasa magari husimama pembezoni mwa uwanja wa Tanganyika Packers, sijui kama ndio eneo sahihi...
  19. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  20. JamiiForums Tanzania Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…