kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kituo cha Oyster Bay ndio kitajwe kila siku?

    Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka Oyster Bay, Why Oyster bay? Si bure
  2. JamiiForums Tanzania RC Simiyu aagiza Afisa Kilimo wa Wilaya Meatu ahamishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu kikamilifu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Kituo cha Afya Kata ya Mtunda, Kibiti

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI "Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
  4. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Waandamanaji wachoma Moto kituo cha Polisi, Majengo ya Maafisa na Ofisi za Frelimo

    Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo Imeelezwa kuwa Wananchi hao walichukua Silaha aina ya AK 47 na kuchoma majengo mengine zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwezesha Vifaa vya Uongezaji Thamani Madini ya Vito na Sonara kwa Vijana Wahitimu wa Kituo cha Jimolojia (TGC)

    SERIKALI KUWEZESHA VIFAA VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI YA VITO NA USONARA KWA VIJANA WAHITIMU WA KITUO CHA JIMOLOJIA (TGC) ● Ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT) ⚫️ Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri ● Kuwajengea Uwezo wa masoko na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Wafanyakazi wa ofisi za kituo cha television cha Al Jazeera wakimbia ofisi zao haraka, yadaiwa ni hofu dhidi shambulizi la IDF!

    Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha yao Taarifa kamili tutawaletea October 17, 2024 Al Jazeera office evacuated in Beirut after...
  9. JamiiForums Tanzania LHRC: Tanzania imeshuhudia utekelezaji wa Sheria kandamizi zinazominya uhuru wa Vyombo vya Habari

    Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
  10. JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  12. JamiiForums Tanzania Songwe: Vyoo vya Kituo cha Mabasi Mpemba Tunduma vyarekebishwa

    Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika. Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa haja ndogo ni 3 tu ndio zinatumiwa, nyingine ni mbovu. MKURUGENZI – TUNDUMA Akizungumzia suala hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata

    Wewe wakati unakula 5 nani alikuwa mwekezaji kazi kumlaumu pamba jiji njoeni Tena wanatu tuwape mnachokitaka
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda azindua Kituo cha Afya Makoga (Wanging'ombe) kilichojengwa kwa zaidi ya Tsh. 500

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof. Mkenda amezindua Kituo cha Afya Makoga katika Jimbo la Wanging'ombe kilichojengwa na Serikali kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

    Naam ndugu zangu katika Imaan. TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan. Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo. Ukiangalia TV Imaan siku...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…