Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...