kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Press ya Father Kitima imeyeyesha Propaganda za Rais Samia leo

    Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka nje ya nchi, hawatutakii mema, na blaa blaa zingine. Sasa ile Press ya Kitima inabidi magwiji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  4. JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nakuuliza Kitima, Oktoba 29 kulikuwa na maandamano au vandalism? Namna ya kukabiliana na vandalism ni ipi kwa mujibu wa imani yako?

    Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi. Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism? Je, kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

    "Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
  7. JamiiForums Tanzania Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa. Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Mwenye dhamana kwa yaliyotokea yupo, awajibike!

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Tanzania sasa hivi hakuna Election kuna Selection

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi) bali kuna utamaduni wa selection (kujichagua) akisisitiza kuwa nchi hii isiendeshwe na mtu ni ya...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko Polisi. Demokrasia hakuna, kwanini vijana wasilalamike?

    "Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi wanaopaswa kuzuia utekaji. Vijana wanapoona vijana wanapoona kuna chombo ambacho kina nguvu kuliko...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Nawakumbusha Vijana Wakatoliki, Tarehe 29/10 tunaandamana huku tukimkumbuka Padre Kitima aliyenusurika Kuuawa na Mapadree wengine wanaotekwa

    Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini. Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO ! Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!. Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Charles Kitima: Tumevuruga Historia ya Uchaguzi wa nchi, si jambo zuri, halitaiponya, litaiangamiza kisiasa

    Kama mwaka 2015 waliweza kupata wabunge, mfano kuna chama kimoja kilifikisha wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 45, iweje mara inayofuata anakuja kupatikana mmoja tu, huoni pale kuna dosari? Tumevuruga historia ya uchaguzi wa nchi, na hili siyo jambo zuri na halitaiponya nchi, litaiangamiza nchi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  16. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Padre Kitima kuna watu wanapata na walishapata uonevu mkubwa hapa Duniani kuliko wa yeye kuvamiwa na kupigwa

    Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa. Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa chuki na visasi vya kisiasa! Je hao waliopotezwa?
  17. JamiiForums Tanzania Padre Kitima aufananisha Uovu unaoendelea Nchini na Uovu Aloufanya Dikteta Hitler !Asema Mwisho wa Uovu Huwa ni mbaya

    Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
  18. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padri Kitima: Uadilifu wa uchaguzi umeshuka kwa kiwango kikubwa

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswa katika mahojiano na Jambo TV Online. Fuatilia: Father Kitima
  19. JamiiForums Tanzania Alikosea FAZA Kitima akapigwa, kwa Nini akosee Gwaji lipigwe Kanisa?

    Kichwa. Cha habar chatosha Kanisa linawachungaji na waumini nje ya Gwaji mfumo upambane na Gwaji sio kanisa
  20. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania msizime Moto Kwa Petroli , Uhuni kwenye Shambulio la LISSU, msiuhamishie Kwa KITIMA acheni kua na Viburi na Mizaha

    Muacheni kua na Viburi na Mizaha !! Huyo anayewatuma atawaponza, TEC sio Familia ya Masikini ya Mnyonge wa WATU TUNDU LISSU !! TEC inapoongea mara mbili mbili juu ya HAKI Kwa KITIMA dhidi ya Waliofanya Jaribio la kuondoa Maisha yao , Wanamaanisha HAKI KWELIKWELI Sasa basi, endeleeni kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…