kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Kitila Mkumbo: Asanteni Mashekh kwa kunipigania uchaguzi 2025

    "Kwa uamuzi wenu siyo tu kwa kuniunga mkono, walioniunga mkono ni wengi, lakini kwa kitendo chenu cha kuniunga mkono waziwazi na hamkuficha. Mie ni mkristo na naungwa mkono na vongozi wangu wa kikristo, tofauti iliyopo ni kuwa hawa wameniunga mkono waziwazi bila kuficha, bila kusita...
  2. M

    Prof. Kitila: Haiwezekani nchi ikaendelea kwa kuendelea kuwa na bunge linalojadili ujenzi wa matundu ya vyoo

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini. Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa...
  3. Waufukweni

    Prof. Kitila: Tutafikia uchumi wa dola trilioni 1 mwaka 2050

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema watalaamu wamefanya uchambuzi wa kutosha na kujiridhisha kuwa Tanzania inaweza kufikia uchumi wa Dola za Kimarekani trilioni 1 mwaka 2050.
  4. MakinikiA

    Mimi naamini maneno ya Kitila matumizi ya fedha za dhahabu, kuliko ya hao wengine, Je, wewe?

    Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi, scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana. Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini???? Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
  5. Dalton elijah

    Kati ya Kitila Mkumbo na Mkurugenzi wa masoko BOT Emmanuel Akoro nani kapotosha umma

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  6. M

    Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

    Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike. Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe...
  7. McLaren

    PostGE2025 Kitila Mkumbo akabidhi mashine za cherehani kwa mafundi huko Manzese. Hiki nacho ni kitu cha kutangaza kwenye media?

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo (CCM) leo Novemba 22, 2025 ametimiza ahadi ya kukabidhi mashine za kushonea(cherehani) nne kwa mafundi waliopo mtaa wa Mwembeni, Kata ya Manzesse, jimbo la Ubungo. Kitila...
  8. Ileje

    Kitila Mkumbo ulipokuwa na akili timamu: Katiba mpya inapatikana kwa vurugu!

    https://twitter.com/Ndolezi_Petro/status/1992542007432990932?t=Fwrcy6pC7f5hy5BUPN4o4A&s=19
  9. Mafyangula

    GE2025 Profesa Kitila: Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama Samia yupo imara

    "Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila ‎Prof. Kitila ameeleza hayo Oktoba 09.2025, kwenye kongamano la dua...
  10. PAYE

    GE2025 Kitila aendelea kusaka Kura nyumba kwa nyumba bila kujali mvua

    Oktoba 7, 2025, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, aliendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti, uliopo Kata ya Kimara, Ubungo, Dar es Salaam. Pamoja na hali ya mvua, Kitila aliendelea kuwatembelea waajiri wake (wananchi)...
  11. Mafyangula

    GE2025 Kitila azisaka kura, bila kujali mvua ilikuwa ikinyesha leo Dar

    Muda huu hata wakiambiwa na wananchi walale chini kwenye tope ili wapate kura watalala tu! ============== Leo Oktoba 7, 2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti uliopo kata ya Kimara...
  12. Mafyangula

    GE2025 Prof Mkumbo: CCM inaogopa rushwa, CCM pia inapambana na rushwa

    CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo. Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu? ============= Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Kitila: Samia amepunguza gharama za maisha amekuza kipato cha mtanzania

    “Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya...
  14. W

    Kitila Mkumbo: Nchi zenye akili hupima uwezo wa Wagombea Urais kupitia midahalo

    Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Waziri Kitila Mkumbo Septemba 29, 2015 aliwahi kuandika "Nchi zote zenye akili hupima uwezo wa kifikra wa wagombea urais kupitia midahalo. Hapa kwetu wanakwepa. Ujanjajanja na ulaghai...
  15. Mafyangula

    GE2025 Prof Kitila: Pesa za mfuko wa jimbo za kwanza nitawakumbuka mabondia wa Mabibo

    Kitila aliitembelea mitaa mbalimbali ya kata hiyo kunadi sera, kueleza aliyotekeleza, kusema atakayofanya akishinda, kusikiliza changamoto na kutoa majibu ya suluhu zake. Katika kuendelea na kampeni hizo Kitila alikutana na mabondia ambao pia ni wafanyabiashara katika soko la Ndizi Mabibo na...
  16. tonicimmobility

    Kitila awatembelea waajiri wake Sinza kuomba kura

    Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma pia: Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za...
  17. R

    GE2025 Picha na Video Hekaheka za Kitila Mkumbo akisaka kura kwa wananchi

    Wakuu habari, Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Kitila Mkumbo apita mtaa kwa mtaa kuomba kura

    Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kitila Mkumbo ajibu maswali na kusoga ugali wakati wa kuomba kura

    Kampeni za kituo kwa kituo, mtaa kwa mtaa zinazofanywa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo zimeendelea kusonga ambapo Septemba 12, 2025 alikitembelea kijiwe cha kahawa kilichopo Tabata Mwananchi, jijini Dar es Salaam. Alipotembelea...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kitila Mkumbo aomba kura kwenye daladala

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Alexander Mkumbo leo Septemba 12, 2025 amefanya kampeni za aina yake kwa kuomba kura kwa abiria walio ndani ya Daladala zilizokuwa zinachukua abiria katika Kituo cha Riverside, Ubungo Dar Es Salaam. Kitila...
Back
Top Bottom