kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wosia wa Dorothy Gwajima Kwa mabinti wa kitanzania

    Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na kuwekeza kwenye harakati za yuko ambaye, Mungu alishamwandaa kwa ajili ya maisha yangu mimi, atanipa kila...
  2. JamiiForums Tanzania Uoga Unaopandikizwa kwa Kizazi cha Kitanzania Ume zingatia hali zisio tabirika kama za mwaka 1978 ?

    .
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kama njugu kwa video ya wadada wa kitanzania wanao fanya mapenzi ya jinsia moja kuna leta tafsiri gani?

    Huko Telegram kuna makundi ya WhatsApp yanatangaza kuuza video inayo waonyesha wawili wali Tanzania wakifanya mapenzi ya jinsia moja.. Makundi ha to yanatoza Kati ya she elfu tatu hadi tano, na watu wengi sana wanalipa hela kujiunga kwenye ma group hayo ili wapate kuona video hizo. Ni kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Botshwana: Mwanamke wa Kitanzania Ahukumiwa kwa Kosa la Kukutwa na Bhangi

    Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi). Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  7. JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka kumng'oa Fiston Mayele Pyramids lazima uwe na kitita cha shilingi za kitanzania Bilioni 8

    Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili. Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akipachika mabao sita, anawindwa na klabu kadhaa za...
  9. JamiiForums Tanzania TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

    Wakuu, Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi? Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia. Basi sawa! ============================= Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wenye asili ya Kitanzania waibuka mabingwa wa ligi ya vijana mjini Mogadishu

    Timu ya vijana wa Kitanzania kutoka jamii ya Watanzania wa Diaspora waliozaliwa nchini Somalia kwa wazazi wa asili ya Kitanzania na Kisomali, imeibuka mabingwa wa Ligi ya Vijana mjini Mogadishu. Ushindi huo umeonesha uwezo mkubwa wa vijana hao ambao licha ya wengi wao kutowahi kufika Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa ipo Kunduchi Beach. Bei ni Tshs Bilioni 2

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first floor...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

    Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa. Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta. Wanasema iran wana mitandao yao...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
  14. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  15. JamiiForums Tanzania Maduka 60 ndani ya jengo moja, ni kariakoo Tanzania, bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. JamiiForums Tanzania Maduka 68 na store zake,hapa ni kariakoo daslam tanzania 🇹🇿bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  17. JamiiForums Tanzania TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

    UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wakirusha mateke juu, wasichana wa Kitanzania wapata nguvu katika kung fu ya Kichina

    Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo juu, lakini hakuna kilichoweza kumzuia mtoto huyo mwenye miaka sita kufuata ndoto zake za kung fu...
  19. JamiiForums Tanzania Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…