Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies nchini Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika nafasi ya kupanua ushawishi wake katika sekta ya nishati.
Soma Pia: Kampuni ya Amsons Group ya...