Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe.
Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja zake; asije akafa bure kwa kukosa huduma muhimu.
Kumbuka; huyu mwanamke ana umbo zuri sana...