kitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  2. Kuna kitambulisho cha mwanachuo kimeokotwa sehemu...

    Kuna ID ya mwanachuo wa TUMAINI UNIVERSITY, nimekiona somewhere... Sijui namna za kumpata nimpe... ....au atakitengeneza kingine.... SAMIA ANATOSHA HADI 2040.
  3. A

    KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  4. Mchakato wa kitambulisho Cha NIDA ukoje?

    Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
  5. PostGE2025 Simbachawene: Ukitoka Desemba 9, uwe na kitambulisho

    Vitambulisho vya nini wakati mmesema hakuna matishio ya amani? Ila Tanzania tulipofika sasa ni huzuni! ================= Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amewakumbusha wananchi watakaotoka Desemba 9 wahakikishe wana vitambulisho ili kuepusha usumbufu.
  6. Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

    Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo. Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
  7. GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  8. Kwanini sasaivi Twitter na badhi ya site wanataka utume picha yako au kitambulisho( verification)

    Kitu kinacho niuzi kipindi hiki ni hiki. Website na x platform wanaomba verification ! Je ni Tz tu au nchi nzima
  9. Nilijiandikisha kupiga kura ili nipate kitambulisho na Siyo kupiga kura

    Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba; Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa na kauli moja kwamba tutapiga kura!. Kura hatutapiga ila tutatumia hivyo vitambulisho kuombea...
  10. N

    Unacho kitambulisho cha kupigia kura ili upige kura au uwe na kitambulisho

    Toa maoni yako
  11. Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
  12. KITAMBULISHO CHA NIDA

    Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
  13. Kitambulisho cha NIDA

    Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani...
  14. Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  15. Nimepiga simu NIDA makao makuu wananiambia kitambulisho kimeshatoka ila meseji sijapata

    Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na...
  16. RPC Jongo: Msikubali kukamatwa na askari asiye na kitambulisho

    Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 9, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi...
  17. L

    Jeshi la Polisi: Watanzania Msikubali Kabisa Kukamatwa Na Askari Asiye na Kitambulisho

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo. 👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa...
  18. Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

    Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
  19. Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  20. M

    Kitambulisho changu cha uraia kinaisha muda kesho. Je, ndio kusema uraia wangu unaisha muda pia?

    Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania? Hii imekaaaje kisheria zaidi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…