kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  4. JamiiForums Tanzania Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

    Rais alihutubia Taifa Jana.. Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania. Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
  5. JamiiForums Tanzania Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

    Kutoka Geita. Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa. Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji. Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la...
  6. JamiiForums Tanzania TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Utekaji wa kisiasa utaisha pindi wanasiasa kuacha kutukanana kushililisha viongozi wa kitaifa

    Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki. Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna Ukija kutukana jua utajificha...
  8. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

    Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kitaifa, wanasiasa wa CCM ,Wabunge na viongozi waandamizi Serikalini hawazungumzi wala kukemea utekaji nchini?

    Mwaka 2024 umekuwa mwaka ulioibua utekaji na mauaji yasiyochinguzika. Umekuwa mwaka wa kuzipiga vita 4R kwa minajili ya kukwamisha juhudi za maridhiano zilizokuwepo swali. Umekuwa mwaka ambao vitendo vya kikatili vimeongezeka na kelele zimekuwa zikipigwa na wanasiasa na hata wananchi kama...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hizi teua-tangua za awamu ya sita zinaonesha ukosefu wa umakini katika maamuzi ya kitaifa

    Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena. Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya Taifa. Nafikiri teuzi na tangua nyingi hufanywa kwa mihemko. Ninapendekeza teuzi na tanguzi za...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini tukikutana na mwanaume ana jina la kike unakuwa mjadala wa kitaifa?

    Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee. Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  14. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

    Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alivyowasili Tanzania (Julai 1, 2024) kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
  18. JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  19. JamiiForums Tanzania Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…