kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwasasa, mamluki na wafuata mkumbo ni janga na changamoto mpya ya kitaifa Tanzania

    Sote ni mashuhuda kwamba, katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao...
  2. JamiiForums Tanzania JWTZ Ikome Kutuletea Manonesho ya Utayari kwenye Sikukuu za Kitaifa.

    Kama wslishindwa kulinda wananchi hadi kilaza mmoja tu anaamua kufanya mauaji ya kutisha na wao wapo tu kama makuku ya kisasa hawapaswi kutuonesha ujinga ule wa kuvunja matofali. Iwe mwanzo na mwisho.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  5. JamiiForums Tanzania UDOM yaongoza juhudi za Kitaifa kuimarisha huduma za Afya kupitia POCUS na Akili unde (AI)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Kikao hicho kilifanyika...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Azaki agusa umuhimu wa majadiliano ya kitaifa

    Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Iraq imetangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah

    Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA). “Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka husika ziweke wazi malipo ya Washiriki wa Mradi wa Digital Tanzania, huu ni mradi mkubwa wa Kitaifa

    Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Chemistry ya uongozi wa DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU imebamba mioyo ya wananchi wote TZ na inakubalika na kuaminika mno kitaifa na kimataifa

    Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania. Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  15. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini?

    Hivi kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini? Mada mezani wadau wa elimu?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  18. M

    JamiiForums Tanzania Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

    Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026. Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…