kisukari

  1. R

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
  2. D

    Miaka 30+ hupoteza nguvu za kiume kwa ugonjwa wa kisukari

    Kisukari na Nguvu za Kiume Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
  3. Kimbesa11

    Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
  4. Chinga One

    Ongezeko holela la vinywaji vikali na baridi,huenda ndio chanzo cha ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani. Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila...
  5. Baba Vladmir

    Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  6. Sarikiaeli

    Msaada wa tabibu bingwa wa Vidonda vya Kisukari

    Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu. Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote! Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa...
  7. Roving Journalist

    Dkt. Anthony Gyunda: Hata soda zinaweza kukupa uraibu, ni hatari Kiafya na zinaweza kusababisha Kisukari

    Mdau wa JamiiForums alitaka ushauri kuhusu tabia yake ya kunywa soda mara nne kwa siku, ambapo anaona si hali ya kawaida na alitaka kujua jinsi anavyoweza kuacha matumizi hayo ya soda. Soma zaidi: Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha? Kutokana na hilo, tumempata...
  8. GENTAMYCINE

    Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

    Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
  9. Ziroseventytwo

    Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

    Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure. Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe. Poleni.
  10. ommytk

    Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  11. BENEDICT ISEME

    Mashine za kupima sukari mwilini - GLUCOMETERS

    Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETER Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo...
  12. BENEDICT ISEME

    Mashine za kupima sukari mwilini - Glucometers

    Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
  13. Mtoa Taarifa

    🩸 Novemba 14, 2024 Siku ya Kisukari Duniani

    Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na: 🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi 🚽 Kuenda...
  14. JamiiCheck

    Swali la siku: Taarifa gani umekuwa ukizisikia kuhusu Ugonjwa wa Kisukari unahitaji kujua Uhalisia wake?

    Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia...
  15. M

    Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

    Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
  16. Yoyo Zhou

    Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari. Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
  17. BARD AI

    Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  18. S

    Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  19. Yoda

    Kisukari ni tatizo kubwa zaidi kwa Waarabu na watu wa visiwani!

    Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo. Inasemekana...
Back
Top Bottom