Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi.
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...