kisingizio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibosho1

    Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

    Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa. Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

    ACHA KUZUGA; MAISHA HAYANAGA KISINGIZIO. Anaandika, Robert Heriel. Yule Mtibeli. Maisha hayakuzugi, hayachezi na wewe, hayana mzaha, yapo halisi, ni tukio Linaloenda mubashara ambalo hakuna kuhaririwa, maisha hayanaga kisingizio, hayabahatishi na hayapo kibahati bahati, ingawaje wahusika ambao...
  3. Hell is real

    Hapa hamna kisingizio tena

    Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa. kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
  4. mngony

    Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

    Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji...
  5. Chagu wa Malunde

    Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  6. Miss Zomboko

    Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  7. J

    Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara? Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
  8. Nigrastratatract nerve

    Ajenda ya Corona na Wazee wa Dar es Salaam; Usizunguke zunguke, nyooka kama rula

    WAZEE WATATULIWE CHANGAMOTO ZAO, WASITUMIKE KUHALALISHA MATAKWA YA WATAWALA Jana Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. Kama kawaida, wazee walipigwa "sound", wakapiga makofi, wakapiga picha, wakala FUTARI wakarejea...
  9. Masokotz

    Kwanini unasema huna mtaji? Ni kisingizio?

    Leo nataka nigusie eneo tata na ambalo ni moja kati ya kitu kinatamkwa sana na vijana na watu wengine wanapotaka kufanya Biashara nalo ni ukosefu wa MTAJI. Mtaji ni nini? Ni uwekezaji wa mmiliki katika biashara yake,yaani ni kile ambacho wewe mmiliki wa biashara unaingiza katika biashara...
Back
Top Bottom