kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Lissu Yupo Gerezani na Hamjaandamana, Mtaizuiaje Uchaguzi?

    Story ya Kijiweni: “No Reform No Election ni Scam ya Kisiasa” Basi bwana, tulikuwa tumekaa pale kwa Mangi—mahali pa mishikaki na siasa. Unajua sehemu kama ile ukikaa dakika tano tu, lazima mjadala wa kisiasa ushike moto. Siku hiyo moto uliletwa na kauli ya Chadema: "No Reform No Election."...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kupotea ghafla kwa Xi Jinping katika Duru za Kisiasa kunatufunza nini?

    Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko Brazil. Taarifa zilizopo ni kuwa Xi amezuiliwa kutoka nje ya nchi kwani alikuwa ana mpango wa kutorokea...
  9. JamiiForums Tanzania Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

    Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani na aliyekuwa mfadhili mkuu wa Donald Trump katika uchaguzi wa 2024, amevunja uhusiano na Rais huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kichekesho cha kisiasa chenye machozi ya baadaye

    "Mwananchi mjinga anasema hafuatilii Bunge kwa kuwa halisemi anayoyapenda, kama vile Bunge ni tamthilia ya mapenzi! Hajui kuwa kwenye hayo anayoyachukia, ndipo wanapopika mchuzi wa kodi yake, bei ya unga, na hata umri wake wa kustaafu!" — Alloyce, P.R.
  11. JamiiForums Tanzania Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

    Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa. Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa na kutamaushwa sana na raia wa Iran kwa kuungana na serikali yao hali yakuwa wamekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wanatumia bei ya Pamba kisiasa

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei bali ni uzalishaji mdogo wa zao hilo miongoni mwa wakulima wa Tanzania. Akizungumza Jumanne, Juni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wacharuka, wakosoa hali ya kisiasa iliyopo Tanzania

    22 June 2025 Vijana hao wa vyuo mbalimbali ikiwemo UDSM, NIT n.k Wachambua hali ya kisiasa yenye maono mbalimbali Kutiki October 2025 No Reforms No Election Amani ya kudumu hupatikana kwa kupitia haki Uchaguzi huru hautampa ushindi wa wa asilimia 100% Bunge la Dodoma lamulikwa Umuhimu wa elimu...
  15. JamiiForums Tanzania Fid q ana upeo mzuri sana wa kuelewa mambo ya kisiasa na kijamii ,hongera Kwake.

    https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
  16. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Kura: Jinsi Mfumo Unavyowalaghai Wananchi kwa Lugha Tamu za Kisiasa

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Uadui wa kisiasa. Zambia yawa Nchi ya kwanza kwa Raisi wake mstaafu kuzikwa Nchi nyingine

    "Siku nikifa mpinzani wangu Hichilema, asishiriki maziko yangu Wala kuukaribia mwili wangu" Familia ya Rais wa Zamani wa Zambia Edgar Lungu Yatangaza Atazikwa Afrika Kusini Baada ya Mvutano na Serikali Familia ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imetangaza kuwa atazikwa nchini Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

    Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka. Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia... • Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti • Vita vya Pili vya...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…