Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko.
Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:
“Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
Habarini wakuu.
Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata?
Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!?
Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri?
Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere collateral damage?
This is state-orchestrated savagery disguised as governance! Kumbukeni, history...
Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa.
Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa.
Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga.
Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza
Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka
Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao...
Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu.
Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo.
Siku mabadiliko yakija...
1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu?
2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!
Lucas Mwashambwa
Isanga family
ChoiceVariable
Tlaatlaah
DR HAYA LAND
Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.
Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya.
Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja