kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA imekosa Agenda za kisiasa, inatafuta chaka la kujifichia!

    Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina Ushauri: Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kiroho haihataji jukwaa kumuonya kiongozi wa Kisiasa

    Viongozi wa kidini hutoa matakwa yao kwa viongozi wa kisiasa kwa ujumbe na vikao maalumu ambavyo jamii haiwezi kuvitambua. Privacy na Confidentiality juu ya maswala yanayoikumba jamii huzingatiwa katika mawasiliano kati ya viongozi wa Siasa ,dini na mila. Huu ni utamaduni wa enzi na enzi na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Madikteta kutawala watu

    Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa gesi,kanga,vitenge na Kofia hata bia Moja tu ni kulingana na mtu anavyojitambua,akiona wewe rushwa Hutaki...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ndo namna Watanzania tunavyowaona Matapeli wa Kisiasa kwa sasa.

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna anayeweza kuuzuia. Huu ni wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania na Watanzania dhidi ya siasa za kitapeli, kuhuni na kifisadi ambazo zimefanywa na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sasa na kuwafanya Watanzania wazidi kuwa masikini bila maendeleo ya uhakika kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  7. JamiiForums Tanzania Ulaghai wa kidini na kisiasa unavyoyumbisha watanzania

    Myself nachoshwa na hizi ngenga za kidini, yaani nachukizwa na kitu chochote kinachotengeneza matabaka. Leo hii ukichunguza Kwa umakini unagundua hizi dini zinachangia pakubwa kuleta utengano kwenye jamii kuliko kuunganisha. Watu wengi tunachekeana usoni tu lakini nafsi zetu zinajipendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  9. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 33 ya utapeli wa kisiasa

    Mrema- agent Cheyo-agent Lipumba-agent Slaa-agent Mbowe-agent Safari-agent Baregu-agent Zitto-agent Bulaya-agent Mdee-agent Seif-agent Kafulila-agent Katambi-agent Mashiji-agent Yeriko-agent Malisa-agent List ni ndefu Sasa naona Lissu kakataa masharti ya kutapeli wananchi kaenda kufanya iwe...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Wananchi: Nguzo ya Uonevu wa Kisiasa Tanzania

    Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania US Embassy: Matukio ya hivi karibuni ya kisiasa yanaibua wasiwasi kama Tanzania itaweza kuandaa uchaguzi wa amani.

    Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

    Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma. Sasa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms no Election ni kwa manufaa ya kisiasa kwa Samia kama akitafakari vyema na kuifanyia kazi

    Samia ameingia madarakani kama Rais miaka minne iliyopita baada ya kifo cha Rais Magufuli. Mwezi october mwaka huu anategemewa kutangazwa tena na Tume ya Taifa ya uchaguzi (aliyoiunda yeye mwenyewe kuwa rais). Hata hivyo kuna ajenda ya chama cha CHADEMA ya No Reforms, No Election ambayo kama...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…