kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

    MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo... Baada ya kukaa kwa siku zote...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kisa hiki cha EL MENCHO kinazidi kuthibitisha na kutufundisha kuwa kila anguko kubwa la mwanaume husababishwa na mwanamke

    Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Mexico, Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kwa jina la El Mencho, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kujeruhiwa na risasi katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika Jimbo la Jalisco nchini humo. Akizungumza na vyombo vya habari Jumanne Februari 24...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Maiti ya mtu isiyotambulika iliyookotwa kwenye ufukwe wa bahari na Mvuvi wa Dagaa

    Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea nje ya nchi). Sasa nakumbuka siku hii Mimi nilikuwa nimetumwanatokea benki ya Nmb tawi la Bunge...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

    Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
  5. JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu.. Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,, Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano. Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

    wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  11. JamiiForums Tanzania Naendelea kuilaumu TFF na mashabiki wapuuzi wa Tanzania kisa Al Hilal FC

    Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi. Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Ni marufuku kumrudisha mtoto nyumbani kisa mchango

    Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha Technical College kufuta mahafali kisa wahitimu kugoma kukodisha majoho

    Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa mwaka 2025, zilizopangwa kufanyika tarehe 31 Januari 2026. Sababu? Asilimia 7 tu ya wahitimu ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  16. JamiiForums Tanzania Kisa vipande vinne vya mkate, niligomea Mahafalu ya TYCS kidato cha sita

    Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair wa tycs wakati ule. Kwanza ifaahamike shule ile ilikuwa na O-level mixer na A-level ni boys. So...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nani alyeumba linunda la Frankenstein'?

    Kisa kwa ufupi: Viktor Frankenstein, mwanasayansi kijana hodari, anashikwa na jazba kuu ya kutaka kugundua siri ya uhai. Hatimaye anafanikiwa kuunda linunda hai kutokana na viungo vya binadamu alivyovikusanya. Lakini ghafla anashikwa na woga na kutishika kwa linunda lile na anaamua...
  18. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

    Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
  19. JamiiForums Tanzania Kuhusu maridhiano soma hiki kisa kifupi cha mzee Filipo

    Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo.. Alikuwa mrefu, mnene mweusi.. Alitisha sana! Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji kizima na hata uchaguzi ulipokuwa ukifanyika ilikuwa kama danganya toto Tu! Kwani siku chache kabla ya...
  20. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na UAE zatunishiana misuli kisa Yemen

    Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen. Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili. ------++- DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…