kipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Miss Grand Internatinal 2026: Ni kipimo cha watanzania kuungana kwenye kupigania jambo lolote

    Salaam wakuu, Hili jambo nilikuwa silifahamu ila baada ya girlfriend wangu ku-share na mimi nikaanza kulifuatilia. Kwa tafakuri yangu nimeona ni mwanzo mzuri na mwamko wa watanzania kuungana kwenye common goal. Mwanzo sikutaka hata kuliongelea maana najua wanasiasa ni watu wa kuchukua credit...
  2. JamiiForums Tanzania JE, UTAPELI NA WIZI NI KIPIMO CHA AKILI? AU JAMII YETU IMEANZA KUCHANGANYA UJANJA NA UKOSEFU WA UADILIFU?

    Habari za muda huu wana-JF. Kuna tukio lililowahi kunitokea ambalo mpaka leo linanifanya niitafakari namna tunavyopima akili za watu katika jamii yetu. Kipindi cha awamu ya tano, wakati nikiwa mwanachuo mkoani Dar es Salaam, nilikuwa na rafiki yangu ambaye alinieleza kuhusu fursa ya kununua...
  3. JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga nani anacho?

    UCHAWA ni kusifia Ujinga na kuukataa ukweli,nani mwenye kipimo cha ujinga?
  4. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  5. JamiiForums Tanzania Utasikia “njoo tukupine mwili mzima”! Au mwingine “tunapima magonjwa yote”, ukienda unamkuta na kipimo cha QMRA

    UTASIKIA NJOO TUKUPINE MWILI MZIMA AU MWINGINE TUNAPIMA MAGONJWA YOTE , UKIENDA UNAMKUTA NA KIPIMO CHA Quantum Magnetic Resonance Analyzer (QMRA)😄 Halafu gharama ya mwili mzima 20,000 tu 😆😆
  6. JamiiForums Tanzania Hospital Yenye kipimo cha aleji

    Habari wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia hospital Bingwa nitakayoweza kufanyiwa vipimo na kutambua aleji ya vitu vinavyonitesa Ninakuwa na mafua na pua kuziba na kusababisha koo kuwa na makohozi kwasababu ya mafua , au dawa itakayoweza kunisaidia kunitibu au kupata hali ya unafuu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini kipimo cha maendeleo Tanzania kianzie awamu ya Nne?

    "Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka 1961. Hata hivyo, kiuhalisia, maendeleo hayaji kwenye ombwe. Ili kutoa hukumu ya haki na ya...
  8. JamiiForums Tanzania Metric Tonne (MT) Ndio Kipimo Kikuu Kinachotumika Wakati Kuuza na Kununua Mafuta katika Soko la Kimataifa

    Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba: Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  10. JamiiForums Tanzania Kipimo Cha moyo

    Naomba kuuliza kipimo Cha moyo ni bei Gani? Asante
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kipimo cha colonoscopy

    Wakuu habari za weekend. Naomba maelezo kwa huduma ya kipimo cha colonoscopy kama ifuatavyo 1. Hospital gani hutoa huduma hii kwa hapa dar es salaam hosp binafsi au umma 2. Bei zake zikoje 3. Huchukua muda gani kupata majibu. Muwe na weekend njema
  12. JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  13. JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha umasikini wa wafanyakazi wa serikali ni hiki hapa

    1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au keshokutwa msululu upungue. 2. Vurugu sokoni....kulipa madeni................kununua mahitaji PRELUDE...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Samia ni kipimo cha ukomavu wa muungano wetu

    Moja ya hotuba maarufu sana ya baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano. Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

    Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa, Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya...
  17. JamiiForums Tanzania Kipimo cha megawatt

    Wadau, Naomba kuuliza wenye ujuzi na mambo ya umeme. Kitu Megawatt, umeme huo unakuwa na ukubwa(wingi)kiasi gani, kutumika kwake ni kama muda gani! maana naonaga mfano wakiongelea Megawatt 5, wanasifia kama ni jambo la ajabu sana. Naomba kueleweshwa tafadhali
  18. JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa H-PYLORI

    Hamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori, maana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia watu wanaongea kwamba huu ugonjwa unatokana na matumbo Namaanisha tumbo likiwa linauma ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Toka simba acheze shirikisho kwa mara ya kwanza kapata kipimo sahihi

    Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b...
  20. JamiiForums Tanzania Tulisema Hapa kuhusu JKT sio kipimo cha kupeleka watu JWTZ ni kupotezea watu mda.

    Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa. Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa hakuna kupitia kama sasa wanavyo tumia JKT. Mnawapeleka vijana JKT mnawapotezea mda wakijua watapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…