kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Bashiru Ally kuondolewa ikulu kama katibu kiongozi kunatupa picha gani? Wahafidhina hawakufurahia uteuzi wake?

    Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu. Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje. Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
  2. J

    Utawala sikivu heleta maelewano kati ya kiongozi na wanaoongozwa

    Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi. Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi zinazotekelezeka ndio msingi wa utawala sikivi. Ufafanuzi unaotolewa na uongozi si lazima uwe chanya...
  3. Ni kanda ya Magharibi pekee haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - wanasiasa mna majibu? Nielimisheni!

    Wabobezi wa siasa, nijengeeni uwezo! Kanda ya Magharibi - yenye mikoa ya Kigoma na Tabora ndiyo haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - nalenga Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. (a). Orodha ya Marais tangu 1961 - 2021 = Mwl Julius K Nyerere (kanda ya ziwa); Mzee Ally Hassan Mwinyi...
  4. M

    Nashauri Ukomo wa Maombolezo kwa Kiongozi wa Kitaifa uwe pale tu anapozikwa rasmi ili mambo mengi ya Muhimu yaendelee

    Tukatae tukubali kuna Sekta zingine katika Kipindi kirefu tu cha Maombolezo huwa zinaathirika mno (hasa Kiuchumi) iwe directly or indirectly pia. Si tu katika Nyanja hiyo ya Kiuchumi pekee bali hata katika Nyanja ya Kijamii na ya Kihuduma pia huathirika kwa namna moja au nyingine katika Kipindi...
  5. Kila kiongozi anadai alikuwa anapigwa simu na Hayati Magufuli; Mbona Kama mbinu ya kumfanya Mama Samia awabakishe

    Kila kiongozi amekuwa akieleza kuwa JPM alikuwa anampigia simu,inawezekana kweli Ila isijekuwa mbinu ya kulinda kitumbua kwenye utawala mpya
  6. Shujaa wa Taifa au alikuwa Kiongozi wa kiimla?

    Miaka ya tisini nikiwa bado kijana mchakalikaji nilikuwa mtu wa kusafiri sana na katika safari zangu nje ya nchi nilikuwa na kutana na raia wa nchi mbalimbali na mojawapo ni nchi ya Kenya. Siku moja nilikuwa na napiga story na Wakenya juu ya Rais wa Kenya wakati huo Daniel Arap Moi. Na mimi...
  7. Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
  8. Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  9. S

    Japo haisaidii: Kama kiongozi hataki kukosolewa akiwa hai, Basi akifa ruksa kukosolewa

    Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe. Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM: 1. Haki 2. Uhuru 3. Ajira zenye usawa 4. Maendeleo ya watu 5. Kodi za ajabuajabu tena za uongo. Akiwa hai, ukisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu...
  10. Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

    Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu. Lakini leo hii tumepata picha kamili...
  11. G

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  12. Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
  13. B

    Viongozi wateule waliomjadili Kiongozi Mkuu vibaya kwa siri watenguliwe ni wanafiki

    Taifa limepita wakati mgumu sana wa maneno yasiyo na ukweli ndani yake "minong'ono". Wakati hii minong'ono inaendelea nilitegemea na ninategemea Wataalamu wetu wa intelligence walijielekeza zaidi malangoni pa wateule kusikia misimamo na maoni yao kuhusu mjadala uliokuwa unaendelea mitandaoni...
  14. Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

    Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya Musa na wana wa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza Kora huenda mpk leo wana wa Israeli wasingefika kanani. Pia inanikumbusha hadithi ya Gadaffi na wa Libya...
  15. Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

    Great Thinkers habari za mchana. Nimeona Ndg zetu hususan wa CHADEMA wakihangaika sana mitandaoni kujua Rais Magufuli yuko wapi. Nimeshangaa kwa kweli 'wonders will never end"! Nina maswali yafuatayo:- 1. Je, Mnamtambua Rais Magufuli kama Rais wa Tanzania? 2. Mmelisha wananchi matango pori...
  16. Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

    Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa taarifa kuhusu kifo chake? Mwaka 2020 kulitokea uvumi kuhusu kifo cha Rais wa Korea Kaskazini, Kim...
  17. TANZIA Kiongozi wa chama cha Myanmar afariki kwa kipigo baada ya kukamatwa

    Zaw Myat Linn ni kiongozi wa pili wa chama cha National League for Democracy (NLD) kufariki akiwa mikononi mwa polisi. Wanasisa wanadai kuwa alipigwa sana baada ya kukamatwa siku ya Jumanne Mamlaka zimesema Zaw Myat Linn alifariki Yangon ambapo alikuwa ni mstari wa mbele sana katika kuongoza...
  18. Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

    Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor. Nina imani kubwa...
  19. K

    Urais wa Kasim Majaliwa 2025 umempa Ukatibu Mkuu Kiongozi Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli. Siku za hivi karibuni nikiandika uzi humu ndani nikieleza kuwa Urais wa Kassim Majaliwa unasukwa na SG wa CCM Dk. Bashiru...
  20. Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…