kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muda ni protocol ya usafiri kwenye msiba wa Malkia, kila kiongozi angetumia usafiri wake kungekuwa na foleni

    MARAIS WA AFRIKA KUPAKIWA KWENYE BUS NI DHIHAKA? Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022. Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafiri (bus) wa gari moja wakati wakielekea kwenye ibada ya mazishi Westminster Abbey. Swali ni je...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    Uwenda Siku za kiongozi mkubwa a Taifa fulani sasa zinahesabika kama mshale wa saa. Yes kuna kila dalili jamaa anataka tumia silaha hatari za maangamizi kwenye ugomvi ameuwanzisha yeye mwenyewe na ni ukweli usio pingika. Mipango yake hata kabla yakuwa dhahiri wenzake walisha juwa nia yake na...
  3. JamiiForums Tanzania Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam inataka kiongozi mbabe na mafia hasa siyo huyo mswahili

    Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno! Dar es Salaam ni Jiji lihitajilo Kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia. Makundi kama Panya Road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye...
  5. JamiiForums Tanzania Sabaya kiongozi Mkuu wa Upinzani baada ya 2025 anayetengenezwa kimkakati na CCM. Ubunge. ukuu wa wilaya na mkoa wala uwaziri si level zake

    Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo . Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wino wangu kwa Kiongozi

    UTANGULIZI Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’ Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna mwisho wake,kujikumbusha ni swala la muhimu sana hili nafasi zetu tunazopata duniani iwe ni kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa maji, Mhandisi Marryprisca Mahundi ni Kiongozi shupavu mfano wa kuigwa

    Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania. Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza kuisadia Urusi kwenye hivi vita ila sasa hivi hali imekua sio tena. Ramzan Kadyrov: ‘If today or...
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
  11. JamiiForums Tanzania Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa, Ukiangalia namna...
  13. JamiiForums Tanzania Myanmar: Kiongozi aliyeondolewa madarakani afungwa miaka mitatu, tayari anatumikia mingine 17

    Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200. Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
  14. JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Iraq baada ya kiongozi wa Washia kutangaza kuachana na Siasa

    Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad. Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
  15. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kiafrika, Mzalendo kama Nyerere, Thomas Sankara na Magufuli asingekubali wananchi wao wanyonywe kupitia tozo

    Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi. Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki? Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia katika ziara za mikoani

    Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais hapumziki na kungojoea ripoti yuko "FIELD" katika Mikoa, Wilaya, Kata hadi Vijijiji. Baadhi ya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Nigeria: Kiongozi wa Boko Haram auawa katika shambulizi

    Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga. Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

    Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
  19. JamiiForums Tanzania Ayman al-Zawahiri: Jinsi shambulizi la Marekani lilivyomuua kiongozi wa al-Qaeda - bila kugusa familia yake

    Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa amekuwa akifanya hivyo kila baada ya maombi .Lingekuwa jambo la mwisho angefanya. Saa 06:18 saa za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

    Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo. Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…