kiongozi bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Kama kuwa kiongozi Bora ni kutengeneza viongozi Bora wengine je, Nyerere hakuwa kiongozi Bora?

    Kwa munaofahamu Tanzania Ni, Nini Hasa tangu 1985 Au tangu Uhuru Munakaribishwa Kujibu You can mention at least one leader of Nyerere caribre if he was a good leader or we are just passing through a historical propaganda about him
  2. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Murtaza Mangungu ni Kiongozi bora kuzidi Engineer Hersi Said

    Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu. Hongereni...
  3. JamiiForums Tanzania Nadhani Ridhiwani ni kiongozi bora, nitamuunga mkono

    Wanjamvi na geniuses wa HnM sakamu! Nimetafakari sana, nimewaza na kuwazua. nikahitimisha kuwa hakuna kisicho na dosari. Mhe. Ridhiwani Kikwete ni kiongozi bora, ni bora ndiyo, na siku hapo mbeleni akitangaza nia ya kujaribu kugombea Urais, nitamuunga mkono 100%. Sababu zangu zipo hapo chini...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tulitamani Kiongozi bora, tukampata Samia!

    Humprey Polepole alijua anapiga picha na Rais kumbe anapiga picha na Samia Watanganyika walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa...
  5. JamiiForums Tanzania Package ya kiongozi bora hapa tanzania ifanyiwe reforms. Awe anajua masuala ya kijamii,ngaz ya jamii yanavyotatuliwa.

    Wqkuu salama? Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni. Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu. Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama Mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora

    Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora. Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea chochote kile hata kama ni uongo yeye anaropoka ropoka tu. mtu kama huyu sio kiongozi bora.
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya sifa ya kuwa kiongozi bora ni kujua takwimu(statistic). Nyerere alifahamu vema takwimu

    Huwezi kamwe kuwa kiongozi bora kama hufahamu na huelewi takwimu. Yaani kujua zinamaanisha nini. Takwimu ndiyo zinakuambia ulipo, ulipotoka na unatakiwa uende wapi na kwa namna gani. Takwimu zinakupa picha ambayo ni clear kabisa. Ukimsoma Nyerere unaona alitumia sana Takwimu na alizielewa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Mwanasiasa na Kiongozi ni kwamba Mwanasiasa anafikiria uchaguzi ujao wakati Kiongozi anafikiria kizazi kijacho

    Tofauti Kati ya Mwana Siasa na Kiongozi ni kwamba Mwana siasa anafikiria uchaguzi ujao wakati Kiongozi anafikiria kizazi kijacho... Hivyo akija mwana siasa kwako muulize mwana siasa , Mtoto wako atafaidika vipi na sera zake.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Sifa 22 za kiongozi bora

    SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA 1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa) 2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake) 3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 4. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hitler Alifanya Makubwa kwa Ujerumani, Je Hilo Linamfanya Kiongozi Bora?

    Kuna namna moja ya ujinga ambao baadhi ya Watanzania wenzetu wanao - kupima ubora wa mtu kwa kutumia vigezo vya kifedha au kiuchumi. Utakuta mtu anapayuka kama mwendawazimu huyu kiongozi anafaa sana, ukiuliza kwa nini anakuambia ametuletea daraja, au amejenga zahanati, au amesaidia kukusanya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt na baiskeli hawezi kuwa kiongozi bora

    Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora . Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai...
  13. JamiiForums Tanzania Kwako kipi ni kipimo cha kiongozi bora?

    Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama kujuana!. Hivyo binafsi nikawaza kipi ni kipimo cha kiongozi bora..? Binafsi naweza kusema kiongozi bora...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na akili nyingi za darasani na kuwa kiongozi bora!?

    Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  16. JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Maendeleo haya Chama, wekezeni katika kiongozi bora

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado ametoa...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni rahisi kupatikana kiongozi bora kwenye jamii sio kuwa na maadili na uwadilifu?

    Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi, Ila utawakuta wenye uwafadhali...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…