Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
Uongozi uliopo unakuta mtu anaongea tu lolote ili mradi tu mtu kama mwigulu hii inafifisha uwajibikaji na sio misingi ya kiongozi bora.
Mtu anaye ongea ongea tu ili mradi anaonekana, anaongea chochote kile hata kama ni uongo yeye anaropoka ropoka tu. mtu kama huyu sio kiongozi bora.
Huwezi kamwe kuwa kiongozi bora kama hufahamu na huelewi takwimu. Yaani kujua zinamaanisha nini. Takwimu ndiyo zinakuambia ulipo, ulipotoka na unatakiwa uende wapi na kwa namna gani. Takwimu zinakupa picha ambayo ni clear kabisa.
Ukimsoma Nyerere unaona alitumia sana Takwimu na alizielewa...
Tofauti Kati ya Mwana Siasa na Kiongozi ni kwamba Mwana siasa anafikiria uchaguzi ujao wakati Kiongozi anafikiria kizazi kijacho... Hivyo akija mwana siasa kwako muulize mwana siasa , Mtoto wako atafaidika vipi na sera zake.
SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA
1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa)
2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake)
3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga!
4. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo...
Kuna namna moja ya ujinga ambao baadhi ya Watanzania wenzetu wanao - kupima ubora wa mtu kwa kutumia vigezo vya kifedha au kiuchumi. Utakuta mtu anapayuka kama mwendawazimu huyu kiongozi anafaa sana, ukiuliza kwa nini anakuambia ametuletea daraja, au amejenga zahanati, au amesaidia kukusanya...
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai...
Naona kama watu wanakuwa na mikanganyiko haswa katika siasa zetu hapa Tanzania, imekuwa sio vuta nikuvute bali ni vurumai yakufuata mtu yoyote kwasababu mbalimbali aidha, nyadhifa fedha ama kujuana!.
Hivyo binafsi nikawaza kipi ni kipimo cha kiongozi bora..?
Binafsi naweza kusema kiongozi bora...
Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi.
Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote.
Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ado ametoa...
Habari wanajamiii forum, !
Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana
kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi,
Ila utawakuta wenye uwafadhali...
Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
___________________
1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga!
2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Kama mimi ningekuwa katika nafasi hiyo ya kuongoza taifa.
Kitu pekee namba moja ningewaomba wachina katika ziara yangu mimi na jopo langu basi si kingine zaidi ya washauri wa masuala ya uchumi, elimu na teknolojia.
Ningepambana mimi na jopo langu jinsi tuwezavyo serikali ya China itupatie...
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa kusaini mikataba mbalimbali ambayo inahitaji kusoma na kuandika kwa manufaa ya pamoja ya wananchi...
1.0 UTANGULIZI
KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna mbalimbali kama vile kuchaguliwa, kuteuliwa au kurithi. Kuna aina kuu mbili za viongozi ambazo ni kwanza...
Wakuu,
Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu;
Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?
Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi.
Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.