Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024Maelezo kuhusu taarifa
Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara imeshuhudia kushuka kwa viwango vya amani katika mwaka uliopita, ambapo wastani wa hali ya amani katika eneo hili...