kimyakimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

    Huyu ndo Muliro. Muongo wa taifa Polisi Tanzania imezungumzia mauaji ya hivi karibuni. Kwamba baada ya mauaji, Polisi Dar es Salaam ilianza uchunguzi wa mauaji ya mtu aliyejulikana kwa jina la Athumani Nyanza ambaye mwili wake ulikutwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake huko maeneo ya...
  2. jamaikatz

    Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ?

    Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ? na uliishia wapi.?
  3. MamaSamia2025

    "Kuji-brand" ni kitu kinachowatafuna wasanii wengi kimyakimya na kuja kuumbuka vibaya kama mkubwa Fella

    "Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
  4. R

    PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    Makato kwenye lipa namba yameongezeka kimyakimya

    Sasa hivi ukilipa kwa kutumia lipa namba ni kama unakomolewa. Makato yameongezeka maradufu mno. Yajayo yanaogopesha
  6. Carlos The Jackal

    Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  7. Idugunde

    Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

    Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
  8. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  9. Mshana Jr

    Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

    NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na...
  10. Richard

    Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  11. Y

    Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  12. W

    IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  13. Prof_Adventure_guide

    Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

    Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college wenye swagga za “boss,” wamegeuka wanaume wa mtaani ndani ya staffroom. Badala ya kufocus kwenye books...
  14. K

    Ukweli mchungu ambao kila mtu anauona uwe CCM au CHADEMA lakini anaumia kimyakimya

    Ni kitendo cha Wanzanzibar kujazana Serikalini. Niseme nimeshuhudia awamu zote za uongozi lakini hakuna awamu iliyojaza wazanzibar Serikalini kama hii, karibu kila ofisi kila idara utawakuta, na hawajifichi kutokana na lafuzi ya kiswahili Chao. Sibagui mtu inauma maana wamechukua ajira za...
  15. M

    Chuo Kikuu cha Iringa hivi imekuwaje Mwenyekiti wa Baraza amerejeshwa kibaruani kimyakimya?

    Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake. Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

    Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
  17. Masai wa Town

    Inakuwaje mfanyabiashara kuondoa Blue tick(kusoma message kimyakimya)

    Mtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu. Huu mtindo unatia shaka sana
  18. S

    Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  19. M

    Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

    Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
  20. D

    Kujiuzulu kimyakimya ni kulinda Staha, Ukiomba kibali kujiuzulu unatumbuliwa

    Iko hivi katika siasa! Ukitaka kulinda Staha kwa wapigakura wako mwanasiasa fanya kujiuzulu tu kimyakimya! Ukiomba kibari cha kujiuzulu ...utadhalilishwa kwa kutumbuliwa na kuharibiwa sifa kwa wapiga kura! Wanasiasa za kuambiwa changanyeni na zenu!
Back
Top Bottom