Niaje waungwana
Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu.
Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa.
Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu...
Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan
Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi. Wataalamu wa hali ya hewa wanasema kuwa kimbunga hicho ni dhoruba kali zaidi duniani mwaka huu, na...
Kimbunga kikubwa Ragasa kimeingia nchini China na kusababisha taharuki kubwa, huku watu wapatao milioni mbili wakilazimika kuhamishwa.
Huko Taiwan, takriban watu 17 wamefariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa mashariki mwa kisiwa hicho. Wataalamu...
MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
Serikali imetoa msaada wa vyakula na Vifaa mbalimbali Kwa Wananchi 241wa Kata ya Mlenge na Itunundu zilizopo Jimbo la Isimani, Wilayani Iringa mara baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani humo.
Wananchi hao wameeleza namna mvua hiyo...
Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema.
Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga nchini (INGD) imesema watu 768 walijeruhiwa na zaidi ya watu 622,000 kuathiriwa na maafa hayo kwa kiasi...
Kimbunga Chido kimegharimu maisha ya watu wasiopungua 34 na kusababisha uharibifu mkubwa kote Msumbiji, Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Majanga na Hatari limethibitisha Jumanne. Dhoruba hiyo yenye nguvu, ambayo ilifika pwani mapema wiki hii, imeacha maelfu bila makazi na kuharibu vibaya...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
Mechi iliyokua ichezeke mapema leo, Merseyside Derby kati ya Everton na Liverpool maarufu Majogoo wa London, imehairishwa.
Sababu ya kuhairishwa ni uwepo Kimbunga kikubwa na dalili ya mvua isiyo na kikomo hapo baadae leo hii
Soma, Pia: Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa
Mamlaka ya...
Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani.
Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Joseph Malinowski almaarufu kama 'Lieutenant Dan' amejikuta akitrend toka jana katika mitandao ya kijamii haswa Tik tok na X baada ya kukataa kuondoshwa katika kijiboti chake na askari polisi ili kupelekwa sehemu salama kufuatia ujio wa kimbunga hatari cha Milton (category 5), kinachotarajiwa...
Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe!
Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta...
Jana nilileta uzi wa baadhi ya mambo ambayo yatasababisha kuanguka kwa nchi za magharibi.
FEMA ni mfuko wa kusaidia jamii kwa ajili ya majanga na emergency mbali mbali huko Marekani.
Sasa Serikali ya democrat imejikuta ikitumia pesa nyingi kuhudumia wahamiaji hadi wa wale walioingia kiholela...
Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 kusini mashariki mwa Marekani, na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa kwa miundombinu na jamii.
Siku chache baada ya kimbunga hicho cha kiwango cha 4 kupiga pwani ya Florida, maeneo mengi yamesalia na mafuriko, huku barabara zilizoharibika...
Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi.
Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani walipo kufuatia janga hilo, na juhudi za kuwatafuta zinaendelea.
Kimbunga Yagi kinaelezwa kuwa...
UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR
Dar es Salaam, 17 Mei 2024:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.